Davey 2017
Senior Member
- Mar 24, 2017
- 109
- 134
Unataka kiasi gani kwa muda gani na kwa riba ya sh ngapi. Kuna riba ya 30% kwa mwezi.Wakuu kama ukisoma hii thread na unawajua wanaopesha wa kuweka bond ama kitu kama hicho nitupie namba ama maelekezo, nataka niweka rav4 crossover 2014. Kuresolve tatizo la muda limetutokea kwenye familia.
Natanguliza shukrani
Nicheki 0742159555
Asante. Nimeshawapata na tayari nimechukuaUnataka kiasi gani kwa muda gani na kwa riba ya sh ngapi. Kuna riba ya 30% kwa mwezi.
Mmmhh hao sio siku ya kurejesha mkopo wanazima simu?Nenda pale sinza Mori kijiwe cha tax ulizia jamaa mmoja anaitwa baby,,au sema namtafuta ndugu yake msofe watakuonyesha jengo lililo mbele yako,,utawakuta kibao tu shida yko itaisha
Hahaaaaa [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] duh!!,kwa mlio Mwanza njooni ofisi ipo Mwanza Mjini mkopo ndani ya nusu saaMmmhh hao sio siku ya kurejesha mkopo wanazima simu?
Vigezo mkuu na pia Mwanza mjini mtaa gan maana mm nipo kapripointHahaaaaa [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] duh!!,kwa mlio Mwanza njooni ofisi ipo Mwanza Mjini mkopo ndani ya nusu saa
20% kwa mwezi unapaki Gari, mkopo ndani ya dk 30 unapataVigezo mkuu na pia Mwanza mjini mtaa gan maana mm nipo kapripoint