supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 1,023
- 1,979
Ogopa sana mtu ambaye anahisi ameonewa na ana silaha za jadi, wataoumia ni wananchi wa kawaida na wasafiri, wakiamua kurusha hayo mamishale yao na polisi wapige mabomu yao mkuu wataumia wasafiri wengi sana wasio na hatia hapa!mbona barabara ipo wazi tu.polisi wapige mabom ya machozi watasepa wakasali leo jpil
Hali ya hewa mkuu, muda ule kulikuwa na mawingu mazito na dalili kama za mvuaPi cha zote umezipiga kuanzia mida ya saa3 asubuhi,mbona zinaonekana kama umezipiga usiku wa mbalamwezi?
Kuna bw mdogo kasafiri leo nimeishia tu kumfananisha ajili ya mwanga hafifu wa hizo picha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unadhani wana uwezo wa kushindana na polisi ?Ogopa sana mtu ambaye anahisi ameonewa na ana silaha za jadi, wataoumia ni wananchi wa kawaida na wasafiri, wakiamua kurusha hayo mamishale yao na polisi wapige mabomu yao mkuu wataumia wasafiri wengi sana wasio na hatia hapa!
#NOTE: Hawa ni wanakijiji na sio wasomi wa mijini
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado njia imefungwa mkuu, maana nipo njiani hapa naitafuta nzega...Hali ya hewa mkuu, muda ule kulikuwa na mawingu mazito na dalili kama za mvua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufanya obstruction km hiyo ni jinai kuna njia mbadala inayowezatumika sana sana hapo kuna mda utafika wataondolewa kwa nguvu ikibidi.Mpaka itumike nguvu nyingine ya ziada ndiyo raia tunasikilizwa, mmewekwa madarakani ili iweje sasa maana kero za raia hamzisikilizi
Tayari imefunguliwa mkuu, wamempata Mkuu wa WilayaBado njia imefungwa mkuu, maana nipo njiani hapa naitafuta nzega...
Sent using Vertu Signature Cobra