huyo ni muuza chips alifumaniwa na fichua maovu wa global akila vitu ktk banda lake la kuuzia chips.
wapenda chips kaeni kijanja.
Wanajiandaa kufua nguo zao, chafu sana zinaonekana.
Duh wanaume jamani wanamioyo ya paka lol!.. yan huyo dada alivyokomaa anaonekana hadi mate yake yanavigimbi lakn kamdinya.