Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 812
- 1,870
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa, anakabiliwa na pingamizi la kisheria kutokana na azma yake ya kuongeza muda wake madarakani.
Kundi la wanajeshi wa vita vya ukombozi wa nchi hiyo wamefungua shauri mahakamani kuzuia serikali kufanya marekebisho ya katiba ili kuongeza ukomo wa mihula ya urais na bunge kutoka miaka mitano hadi saba.
Haya ni baada ya serikali ya Zimbabwe kutoa taarifa rasmi kuthibitisha mpango wake wa kubadili katiba ya nchi ili kuongeza muda wa uongozi wa Rais wa sasa Mnangagwa, jambo linalochukuliwa kama lenye nia ya kusambaratisha uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka wa mwaka 2028.
Mapendezo hayo ambayo yaliwasilishwa na kuidhinishwa na bunge wiki iliyopita yananuia kuongeza muda wa urais na ubunge hadi mwaka wa 2030.