Wanajeshi wetu DRC


acha majungu yenu watu wanalipwa vizuri na un mnaleta uongo hapa,na kwa taarifa yenu huko congo hatutoki tena, mmeshaanza kukosa madini na mbao!!!
 
Wale kina Shimbo wenye trillion tatu south waliishia wapi na wanazipataje?

Hii habari haikuthibitishwa ni uzushi tu, trillioni 3=utajiri wa bakhresa+rostam+Mengi+....haiwezekani.
 
UN mission ziko financed na wao wenyewe alafu tuna vitengo makini vya siri vya usalama hivyo kama kuna malalamiko ya askari yananaswa mapema na kufanyiwa kazi ndio maana askari wetu wananidhamu nzuri siasa za CCM zisipopenyezwa.
Alafu mambo kama viongozi kutembelea askari si option kama ikionekana inafaa kijeshi.

Tuache propaganda labda kama habari hii haijakamilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…