brigedia mafia JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 2,260 Reaction score 2,279 Sep 4, 2016 #1 Habari. wana jamvi leo nataka tufahamu kuhusu wanajeshi warembo zaidi duniani 1: Romania 2:Russia 3: Poland 4:Greece 5:Israel 6:Finland 7:Sweden 8: Pakistan 9:Australia 10:China 11:Saint Lucia 12:Colombia 13:LIBYA 14:Mexico 15:Indonesia
Habari. wana jamvi leo nataka tufahamu kuhusu wanajeshi warembo zaidi duniani 1: Romania 2:Russia 3: Poland 4:Greece 5:Israel 6:Finland 7:Sweden 8: Pakistan 9:Australia 10:China 11:Saint Lucia 12:Colombia 13:LIBYA 14:Mexico 15:Indonesia
Blood Hurricane JF-Expert Member Joined Jun 21, 2012 Posts 1,175 Reaction score 305 Sep 4, 2016 #2 Vapour...Wh hance mtanashati said: Habari. wana jamvi leo nataka tufahamu kuhusu wanajeshi warembo zaidi duniani 1: Romania View attachment 393715 2:Russia View attachment 393717 3😛oland View attachment 393718 4:Greece View attachment 393720 5:Israel View attachment 393721 6:Finland View attachment 393722 7:Sweden View attachment 393724 8😛akistan View attachment 393725 9:Australia View attachment 393726 10:China View attachment 393729 11:Saint Lucia View attachment 393730 12:Colombia View attachment 393731 13:LIBYA View attachment 393732 14:Mexico View attachment 393733 15:Indonesia View attachment 393734 Click to expand... What is your intention? U want to marry them
Vapour...Wh hance mtanashati said: Habari. wana jamvi leo nataka tufahamu kuhusu wanajeshi warembo zaidi duniani 1: Romania View attachment 393715 2:Russia View attachment 393717 3😛oland View attachment 393718 4:Greece View attachment 393720 5:Israel View attachment 393721 6:Finland View attachment 393722 7:Sweden View attachment 393724 8😛akistan View attachment 393725 9:Australia View attachment 393726 10:China View attachment 393729 11:Saint Lucia View attachment 393730 12:Colombia View attachment 393731 13:LIBYA View attachment 393732 14:Mexico View attachment 393733 15:Indonesia View attachment 393734 Click to expand... What is your intention? U want to marry them
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,729 Reaction score 34,830 Sep 5, 2016 #3 Hao wanajeshi wakinipiga risasi sifi!
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,655 Reaction score 19,271 Sep 5, 2016 #4 wote wabayaa
makilo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 2,676 Reaction score 5,378 Sep 5, 2016 #5 Duh Hadi uyo no 7?
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,008 Reaction score 28,342 Sep 5, 2016 #6 Kijeshi hapo mzuri ni huyo namba 8 wa pakistan!
MC7 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2016 Posts 592 Reaction score 491 Sep 5, 2016 #7 Israel na Russia n zaid.. na Romania
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,410 Reaction score 82,319 Sep 5, 2016 #8 Wale watoto wa Muamar Gadaffi enzi zile acha kabisa. Mzee alikuwa analindwa na malaika
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,133 Reaction score 48,851 Sep 5, 2016 #9 Pakistan
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,968 Sep 5, 2016 #10 Kweli uzuri wa mtu ni macho yako.
aminiusiamini JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 3,577 Reaction score 2,226 Sep 5, 2016 #11 Mungu wangu wala usiweke wa tanzania. Ni shidaa! Mtu anasura ngumu unajiuliza kama alishwahi hata kucheka maishani. Khaa
Mungu wangu wala usiweke wa tanzania. Ni shidaa! Mtu anasura ngumu unajiuliza kama alishwahi hata kucheka maishani. Khaa
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Sep 5, 2016 #12 dah basi sawa
Kifurukutu JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 4,666 Reaction score 6,742 Sep 5, 2016 #13 weka wa tanzania
Gwamahala JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 3,925 Reaction score 2,327 Sep 5, 2016 #14 Nifah said: Wale watoto wa Muamar Gadaffi enzi zile acha kabisa. Mzee alikuwa analindwa na malaika Click to expand... Halafu it is believed that "intavyuu" alikuwa anafanya mwenyewe!
Nifah said: Wale watoto wa Muamar Gadaffi enzi zile acha kabisa. Mzee alikuwa analindwa na malaika Click to expand... Halafu it is believed that "intavyuu" alikuwa anafanya mwenyewe!
Mapensho star JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,054 Reaction score 4,114 Sep 5, 2016 #15 princess ariana said: wote wabayaa Click to expand... wewe mbona mbaya na avatar yako hiyo watoto wakali sana hawa wanawake huwa hampendani ndio hilo
princess ariana said: wote wabayaa Click to expand... wewe mbona mbaya na avatar yako hiyo watoto wakali sana hawa wanawake huwa hampendani ndio hilo
johnsonmgaya JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 2,818 Reaction score 3,731 Sep 5, 2016 #16 VP kuhusu wale waliopiga picha na rais wa dar?
johnsonmgaya JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 2,818 Reaction score 3,731 Sep 5, 2016 #17 Alafu hawa wengi ni pornstars
Tuyuku JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 3,292 Reaction score 1,935 Sep 5, 2016 #18 wengine hao hapo wamevaa na miwani.
C Chige JF-Expert Member Joined Dec 20, 2008 Posts 13,493 Reaction score 29,885 Sep 5, 2016 #19 Ni kwamba wanawake wazuri ni wenye ngozi nyeupe pekee au ni kwamba wanawake black wanaojiunga na jeshi ni wale wabaya tu to the point inaonekana wanajeshi warembo duniani ni weupe pekee??!!
Ni kwamba wanawake wazuri ni wenye ngozi nyeupe pekee au ni kwamba wanawake black wanaojiunga na jeshi ni wale wabaya tu to the point inaonekana wanajeshi warembo duniani ni weupe pekee??!!
BilioneaPATIGOO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 12,320 Reaction score 11,341 Sep 5, 2016 #20 Nifah said: Wale watoto wa Muamar Gadaffi enzi zile acha kabisa. Mzee alikuwa analindwa na malaika Click to expand... halafu nasikia walikua "sealed" daah
Nifah said: Wale watoto wa Muamar Gadaffi enzi zile acha kabisa. Mzee alikuwa analindwa na malaika Click to expand... halafu nasikia walikua "sealed" daah