Wanajeshi saba Watanzania wauawa Dafur

Mkuu waambie bwn hawa Chadema maana wanajua kuwa wanajeshi kule Darful wanafanya kazi ya CCM. wana jf kweli nadhani 95% au zaidi ni chadema. Lkn jifunzeni utaifa kwanza, uchadema baadaye! Pum...f .u nyie
 
hivi nani aliwatuma huko? wangewaua wote kabisa wafie huko huko!
 
Inasikitisha makamanda kupoteza maisha wakitimiza wajibu wao..lakini inauma pale watanzania wanapokosa utu na uzalendo.rip walinzi wetu.
 
Inasikitisha makamanda kupoteza maisha wakitimiza wajibu wao..lakini inauma pale watanzania wanapokosa utu na uzalendo.rip walinzi wetu.
Hao makamanda ndo wana utu na Uzalendo? Watu tunapigwa huku we unataka
tusikitike? na sasa hivi wanaimba kwenye mchakamchaka "TUMEWACHOKA WANAMTWARA"
Inakoenda wataimba TUMEWACHOKA WATANZANIA...... Binafsi roho imetulia kidogo
na nahisi faraja kwelikweli.
 
Kama vile unamkataba na Mungu wa kuishi milele!kama vile hauta kufa!duniani wote ni wapitaji!kwenye swala la utu ushabiki unatakiwa ukae pembeni.na hicho unachokiwaza na kukitarajia hakitatokea kamwe roho itaendelea kukuuma kila siku kwani wewe una roho mbaya.RIP makamanda.
 
Yaani mkuu hapa jf kwa watu neutrals ni kichefuchefu. Taifa ni nyuma, uchama ni mbele. Bull...it!
 
Kwa hiyo utu ni upande mmoja na upande mwingine haustahili utu
Nimetoka Arusha na kwenda moja ya wilaya za Mtwara nikiwa
katika mihangaiko ya kibiashara pasi na kutegemea naambulia
Kipigo, nimejaribu kujitetea kuwa mimi sio mwenyeji wa huku na
hata meno yangu yanaonyesha lakini sikusikilizwa...... Aah
warest Jahannamu tu, maana wameshaniweka makovu
Yaani utu upande mmoja tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…