mcomunisti halisi
Senior Member
- Jan 17, 2017
- 103
- 328
Mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Urusi yamewaua kwa bahati mbaya wanajeshi 3 wa Uturuki na kuwajeruhi wengine 11 kaskazini mwa Syria,Waziri wa ulinzi wa Urusi amethibitisha.
Ndege ya kivita ya Urusi ilipiga moja ya jengo ambayo ilikuwa inakaliwa na wanajeshi wa Uturuki.
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameonyesha masikitiko yake kwa kutuma rambirambi kwa kumpigia simu Rais wa Uturuki Tayyip Erdogan.-''katibu wa Kremlin Dmitry Peskov aliuambia mtandao wa Novosti