Wanajamii kulikoni Celebrities wa Majuu mnawataja tu wa Norh America na Ulaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanajamii kulikoni Celebrities wa Majuu mnawataja tu wa Norh America na Ulaya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Inanambo, Jun 27, 2011.

 1. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,865
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  mimi ni mpenzi wa tamthilia za Amerika ya Kusini(LATIN AMERICA). Kule kuna warembo wengi tu na wanaume wao. lakini kila nikisoma habari za warembo kwenye blogs, forum hawatajwi. hawa kina Natalia steignard(Babarita, MariaTeresa), Mario Cimarro, Nina Conde, na wengineo hawajulikana au hawana mvuto? kila mara nasoma tu habari za Paris Hilton, Kardishiana, Angelina Jolie. kulikoni hao wa Sauzi America? Sijamsahau yule Mbrazili halfcaste anayeitwa Preta kwa jina la Kisanii mbona wao hawatajwi.
   
Loading...