Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,401
- 7,900
Huu mji unaitwa Barrow unàpatikana Alaska huko ambapo jua likizama November 18 linakuja kuchomoza Januari 23 ina maana hapo katikati kwa siku takribani 67 wanakua hawaoni jua panakuwa kama usiku tu,na kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka kama Christmas [emoji301]ndo barafu[emoji3587] linashuka kabisa [emoji558][emoji2410] #fahamumagazineView attachment 1969757
Na Kuna idadi kubwa ya wanaadamu??Huu mji unaitwa Barrow unàpatikana Alaska huko ambapo jua likizama November 18 linakuja kuchomoza Januari 23 ina maana hapo katikati kwa siku takribani 67 wanakua hawaoni jua panakuwa kama usiku tu,na kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka kama Christmas [emoji301]ndo barafu[emoji3587] linashuka kabisa [emoji558][emoji2410]
#fahamumagazineView attachment 1969757
Ukilala masaa yote ugali atakupa nani labda use mtoto au mstaafuLife in the Norwegian Town Where the Sun Doesn't Rise
I spent a year in Tromsø, Norway, where the “Polar Night” lasts all winter—and where rates of seasonal depression are remarkably low. Here’s what I learned about happiness and the wintertime blues.www.theatlantic.com 11 Places Where the Sun Never Sets
The long, cold days of winter may be upon us, but wait until June: In the summer, these destinations almost never see darkness—particularly on the summer solstice.www.cntraveler.com
Hapo sasa......
ukiamua unalala masaa yote au uko macho masaa yote....
Naamini russia wanajutiaHivi unajua kama Alaska ilikua russia,mmarekani akainunua.?
Kuna rasilimali za kutosha!Naamini russia wanajutia
Marekani ana akili kubwa na visions za mbali. Hapo kweli Russia anajutia.Kuna rasilimali za kutosha!
Je jua likichomoza hutumia muda gani mpaka kuzama au ni masaa hayo 67 ????Huu mji unaitwa Barrow unàpatikana Alaska huko ambapo jua likizama November 18 linakuja kuchomoza Januari 23 ina maana hapo katikati kwa siku takribani 67 wanakua hawaoni jua panakuwa kama usiku tu,na kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka kama Christmas [emoji301]ndo barafu[emoji3587] linashuka kabisa [emoji558][emoji2410]
Duh!! hatari sana.Haaahaaa Mrusi kuiuza Alaska Kwa mjanja Kwa pesa ya nusu kilo ya kitimoto mpaka Leo Moscow roho inawauma Sana ni sawa na Leo itokee upo zako pale Geita ukaumuuzia nyumba ya familia mzungu mmoja na ukaja sikia kumbe chini ya nyumba Yako ungechimba shimo futi 20 ungepata dhahabu Tani Moja!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]