MmmmWANAHITAJIKA WAUZA DUKA (SHOP ATTENDANTS)
SIFA ZA MWOMBAJI
-Umri: miaka 18 - 25
-Elimu Form Four au Form Six lakini aliyepata cheti cha masomo (academic certificate)
-Awe muaminifu, anayejituma na mwepesi wa kuelewa.
BAADHI YA MAJUKUMU MUHIMU:
-Kuuza vifaa vya dukani
-Kuhakikisha bidhaa za dukani ziko mpangilio sahihi
-Kuweka safi mazingira ya ndani na nje ya duka.
- Kuhakikisha Mali inayoingia na inayotoka dukani inaingizwa kwenye vitabu husika.
- Uwezo wa kutoa huduma bora kwa wateja - lugha nzuri, usafi binafsi, unyenyekevu.
ENEO LA KAZI: Wilaya ya Ilala (DSM) na Kisarawe (PWANI).
MALAZI
Kampuni ina utaratibu wa kumpangia / kuwapangia chumba wafanyakazi katika eneo lililo karibu na duka husika.
Mwenye sifa tajwa Tafadhali tuma barua ya maombi ya kazi na CV yako fupi kwa email ifuatayo:
rvbizsolutions@gmail.com
Aliyepata mafunzo ya computer atafikiriwa haraka.
Mwisho wa kupokea maombi ya kazi ni tarehe 14/11/2018
Eti na wa degree mnapokeaWANAHITAJIKA WAUZA DUKA (SHOP ATTENDANTS)

Na vipi wa diploma mkuu mnapokeaHapana. Waachie wadogo zako, utakuwa ume-overqualify!
Email tayari kiongoziWANAHITAJIKA WAUZA DUKA (SHOP ATTENDANTS)
SIFA ZA MWOMBAJI
-Umri: miaka 18 - 25
-Elimu Form Four au Form Six lakini aliyepata cheti cha masomo (academic certificate)
-Awe muaminifu, anayejituma na mwepesi wa kuelewa.
BAADHI YA MAJUKUMU MUHIMU:
-Kuuza vifaa vya dukani
-Kuhakikisha bidhaa za dukani ziko mpangilio sahihi
-Kuweka safi mazingira ya ndani na nje ya duka.
- Kuhakikisha Mali inayoingia na inayotoka dukani inaingizwa kwenye vitabu husika.
- Uwezo wa kutoa huduma bora kwa wateja - lugha nzuri, usafi binafsi, unyenyekevu.
ENEO LA KAZI: Wilaya ya Ilala (DSM) na Kisarawe (PWANI).
MALAZI
Kampuni ina utaratibu wa kumpangia / kuwapangia chumba wafanyakazi katika eneo lililo karibu na duka husika.
Mwenye sifa tajwa Tafadhali tuma barua ya maombi ya kazi na CV yako fupi kwa email ifuatayo:
rvbizsolutions@gmail.com
Aliyepata mafunzo ya computer atafikiriwa haraka.
Mwisho wa kupokea maombi ya kazi ni tarehe 14/11/2018
Mkuu mi naona bora ungetaja mahari ofisi zilipo mtu aende aonane na waajiri ana kwa anaWANAHITAJIKA WAUZA DUKA (SHOP ATTENDANTS)
SIFA ZA MWOMBAJI
-Umri: miaka 18 - 25
-Elimu Form Four au Form Six lakini aliyepata cheti cha masomo (academic certificate)
-Awe muaminifu, anayejituma na mwepesi wa kuelewa.
BAADHI YA MAJUKUMU MUHIMU:
-Kuuza vifaa vya dukani
-Kuhakikisha bidhaa za dukani ziko mpangilio sahihi
-Kuweka safi mazingira ya ndani na nje ya duka.
- Kuhakikisha Mali inayoingia na inayotoka dukani inaingizwa kwenye vitabu husika.
- Uwezo wa kutoa huduma bora kwa wateja - lugha nzuri, usafi binafsi, unyenyekevu.
ENEO LA KAZI: Wilaya ya Ilala (DSM) na Kisarawe (PWANI).
MALAZI
Kampuni ina utaratibu wa kumpangia / kuwapangia chumba wafanyakazi katika eneo lililo karibu na duka husika.
Mwenye sifa tajwa Tafadhali tuma barua ya maombi ya kazi na CV yako fupi kwa email ifuatayo:
rvbizsolutions@gmail.com
Aliyepata mafunzo ya computer atafikiriwa haraka.
Mwisho wa kupokea maombi ya kazi ni tarehe 14/11/2018
Unakuta unatuma cv kumbe mtu ashatafuta watu wake siku nyingiMkuu mi naona bora ungetaja mahari ofisi zilipo mtu aende aonane na waajiri ana kwa ana
Hayo mambo ya kutuma cv kwa email,shida tupu
Ni Mtazamo wangu tu.
Ndo hivyo mkuuUnakuta unatuma cv kumbe mtu ashatafuta watu wake siku nyingi
Kazi yako hii hapa:Na vipi wa diploma mkuu mnapokea
Kazi ya wenye degree na diploma:Eti na wa degree mnapokea
Hapana siyo sahihi. Ukifanya hivyo watakuja wenye sifa na walio na sifa, utakuwa na watu wengi ambapo kazi za kawaida hazitafanyika. Kwa email watachuja wanaowafaa na kuwaita katika interview.Mkuu mi naona bora ungetaja mahari ofisi zilipo mtu aende aonane na waajiri ana kwa ana
Hayo mambo ya kutuma cv kwa email,shida tupu
Ni Mtazamo wangu tu.
Eti na wa degree mnapokea
Sasa unaonana vip8 na waajiri wakati hata pre screening hujapita? Wabongo wengi hua wanatatizo kwenye kuomba kaziMkuu mi naona bora ungetaja mahari ofisi zilipo mtu aende aonane na waajiri ana kwa ana
Hayo mambo ya kutuma cv kwa email,shida tupu
Ni Mtazamo wangu tu.
Asantee mkuuKazi ya wenye degree na diploma:
Vacancy - shops and inventory controller - JamiiForums
Vacancy - shops and inventory controller
Hii yenye midegree ni michache sana kuwa under 25 yrs na inataka salary kubaaa kubaaa bhanaaEti na wa degree mnapokea