Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,133
- 6,221
Maswali yapo matatu mkuu... yapitie yote.Unata SANDUKU la Posta...?
akijibu nitagiMaswali yapo matatu mkuu... yapitie yote.
Lakini pia hata official email inamuadress anayetumiwa na nafasi yake kwenye taasisi husika, neno address ni pana kodogo (Sio lazima sanduku la posta)
Nauliza kwa lengo kuandaa taarifa ninazotuma ziwe in a professional way, naamini sija ku offend kwa hayo maswali.
watanzania ni wagumu sana kuelewaakijibu nitagi
ukuona unaambiwa utume kwenda ....@gmail.com... mguu nje mguu ndani
nadhani ukisoma tangazo limejieleza mkuu....rudia kusoma tangazo hata mara 3 kisha uliza tena swali lako....Maswali yapo matatu mkuu... yapitie yote.
Lakini pia hata official email inamuadress anayetumiwa na nafasi yake kwenye taasisi husika, neno address ni pana kodogo (Sio lazima sanduku la posta)
Nauliza kwa lengo kuandaa taarifa ninazotuma ziwe in a professional way, naamini sija ku offend kwa hayo maswali.
Yanini nisome tangazo mara tatu kutafuta jbu ambalo halipo akat wewe unaweza kureply mara moja tuu tukaokoa muda. Ok basi fanya kwa kunisaidia mini tuu.nadhani ukisoma tangazo limejieleza mkuu....rudia kusoma tangazo hata mara 3 kisha uliza tena swali lako....
Watu serious hawatangazi matangazo kizembe hivi.kuna shule ambayo ina matawi yake sehemu mbali mbali hapa nchini
WaliO serius wamesha tuma maombi na wamesha pewa maelekezo huko...Watu serious hawatangazi matangazo kizembe hivi.
Pole sana.HAO NI MAFOREVA LIVING MAPUUZ WAKUBWA
Ndio watu gani hao? wewe bado hauko serious.Waliserius wamesha tuma maombi
Watu wenye nia wamesha tuma maombi na wataleta mrejesho...acheni kejeri kwa kitu usicho kijuaNdio watu gani hao? wewe bado hauko serious.