Wanahitajika walimu wa Tehama ICT

Asee ni shule za msingi zipi sasa emu fafanua vizur
 
Tuliosoma ICT o level tukafaulu vizuri hatuitajiki ?
 
Shule i(zi)naitwaje? Na iko/ziko sehemu gani hapo Dar?
Naomba majibu tafadhali, kuna mtu ananiulizia.
 
Shule i(zi)naitwaje? Na iko/ziko sehemu gani hapo Dar?
Naomba majibu tafadhali, kuna mtu ananiulizia.
Ningekutajia ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu...siwezi kuitaja hiyo shule ila mwambie aombe pengine anaweza kuitwa kwenye usaili akapafahamu. Ila si shule mpya ni ya zamani na ni kubwa tu.!
 
Sina hakika kwanini unaogopa kutaja jina la shule!?? Hiyo ajira ni "dili"?

Ila asante kwa tangazo ngoja tuone
 
Sina hakika kwanini unaogopa kutaja jina la shule!?? Hiyo ajira ni "dili"?

Ila asante kwa tangazo ngoja tuone
Hakuna dili ndugu, yangu wenye shule wametaka mambo yawe hivyo kutokana na nafasi husika ya ajira....ama kupunguza msongamano wa watu wenye lengo moja offisini...kama unavyo vigezo tuma maombi ukibahatika utaitwa kwenye usaili ukishinda utapata kazi hakuna malipo yoyote utakayotoa ili kupata kazi hiyo.
 
Sawa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…