thanks π, haya mshamba_hachekwi sema kingine ππ π π π π Hiyo sintoshindwa kabisa kipenzi wala usiwaze, nilidhani unataka v8 ww aseee ingekuwa shida
Athlete utapata acha muda utaongea π
ila we jamaa ππππusisahau pia uje na jasho la samaki, na jogoo wawili mashogaπ huo ndo utaratibu wetu....
Dogo embu jikaze, mkuuusisahau pia uje na jasho la samaki, na jogoo wawili mashogaπ huo ndo utaratibu wetu....
Daaah π πKuna ambao hawajaelewa kingereza alichotumia so naomba niwape dhima kubwa aliyoitoa kwa wanaume.
Kiufupi mwanaume TAFUTA PESA kila mwanamke utamwin tu. Ana maana hiyo.
Shukrani sana.
ndio utaratibu mkuu, toka enzi za mababu πDogo embu jikaze, mkuu
Mapenzi yangu niachie mwenyewe huyu jogoo shoga ushawahi muona wapi ww
achana nae huyo kipenzi, atakuua na presha bure halafu mimi ntabaki na naniDogo embu jikaze, mkuu
Mapenzi yangu niachie mwenyewe huyu jogoo shoga ushawahi muona wapi ww
hachomoki kirahisi....πila we jamaa ππππ
Hamnaga hiyo kitu ww, usinilishe kamba hapa kuanzia lini ikawa hivyondio utaratibu mkuu, toka enzi za mababu π
sio mchezo...π πhachomoki kirahisi....π
Embu turudi zetu pm huko, tukapeana joto na hii baridi ya usiku π₯°π€©ππachana nae huyo kipenzi, atakuua na presha bure halafu mimi ntabaki na nani
mimi nimemaliza, usipofuata masharti ukamchukua kilazima tutakupiga juju HUTODINDA TENA!! nadhani nimeelewekaπHamnaga hiyo kitu ww, usinilishe kamba hapa kuanzia lini ikawa hivyo
Pita πππ kaone kwanza mtafute na ww wako umpe hayo majasho ya samaki, na majogoo mashogamimi nimemaliza, usipofuata masharti ukamchukua kilazima tutakupiga juju HUTODINDA TENA!! nadhani nimeelewekaπ
ye34nbe sio ya kweliπ€£π€£π€£π€£π€£ππEeeeh jesuu wangu Leejay49 Lovie Lady ya kweli haya wakuuu
My wizo Leejay49 anaenipa mashambulizi ni future lawyer π©π©π©nani huyo tena,, nani anakusumbua wizo jamani, yuko wapi huyo π£
vipi kuhusu wewe jimbo lipo wazi au?an alpha male anaachaje kutamba sasaπ€£π€£π€£π€£π€£ππpambana upate jimbo lako peke ako
ye34nbe
Tamba Kaka..nimeimarisha ulinzi kwa wifi yangu Leejay49 π€
sawa mkuuHayana fomulaa,halafu nyie motivesheni spika ndio mnachapiwa sana
future lawyer kaa mbali na wizo wangu tafadhali πMy wizo Leejay49 anaenipa mashambulizi ni future lawyer π©π©π©