Wanahitaji nini?

mara nyingi utasikia wanawake wakisema wanapenda mwanaume atakaye mjali,yaan nice guys lakini cha kushangaza utakuta wamezama kwa jerks guys ukabaki unajiuliza nini hiki?.
Rihanna alipoimbiwa Fashion Killer na A$AP Rocky kampa kipochi manyoya mazima jamàa kamuoa na sasa ananipigia TU kitenese vijusi wanaongozana mmoja baada ya mwingine wakati kuna mabillinaire walipita nae km yule mtoto wa mfalme wa Saudia akamtia Cha Mbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…