[h=4]Comments
[/h]
0
#6 tusikubaliunyonge 2011-10-12 09:11 Nadhani sasa imefikia ambapo lazima watu wakubali kutetea haki zao hata kama ni kwa kumwaga damu. Si halali kwa watu wachache kuumiza wengine bila wao kuchukuliwa hatua. Kwa kukubali unyonge ni kama kujinyonga
Quote
0
#5 Loliondo 2011-10-12 08:58 Hawa wanaharakati nao wanazidi kutuchanganya. Kulingana na Mkataba ulivyoisainia hiyo TUZO lazima ilipwe na hakuna mahakama yeyote inayoweza kutengua.
Wanaharakati wanajaribu kuzunguka mbuyu. Maandamano yanatakiwa yawe na ajenda ya kumshinikiza Kikwete awachukulie hatua wale wote waliotuingiza kwenye ufisadi huu. Wametajwa in black and white ktk repoti ya Mwakyembe.
Kama JK atagoma kuwachukulia hatua basi tuandamane tumshinikize yeye JK atuachie nchi yetu kama walivyofanya wananchi wa Tunisia, Misri etc.
Tuache porojo, vinginevyo hili genge la mafisadi litatumaliza.
Quote
+1
#4 kifaru 2011-10-12 08:41 Mimi naamini hakuna njia nyingine ya kulikomboa taifa letu zaidi ya kuandamana kumtoa kikwete ikulu. Kama rais anafikia mahali anatangaza mbele ya kadamnasi kuwa wanaotaka urais 2015 wafanye kazi sasa hivi, maana yake ni kwamba yeye kazi yake imekwisha, unategemea nini ktk utendaji wake?
Mi nafikiri ili kumuonyesha kuwa hii nchi si ya viongozi bali ni ya wananchi, lazima tumng'atushe kabla ya 2015 ili na wengine wapate akili.
Quote
0
#3 smart 2011-10-12 07:38 mwl nyerere alisha sema u[NENO BAYA] ni jambo usoolijua ukijua u[NENO BAYA] unatoweka,lakin i m[NENO BAYA] ni kipaji ulichonacho hautoki hata kama unaelazwa kila siku hivo basi ktk sakata hili jk umesimama wapi? jifunze kutoka libya na misri mataifa yanayotuzidi kiuchumi na kijeshi pia lakini uma umetake adv.
Quote
+1
#2 joseph Masanja 2011-10-12 01:53 WATANZANIA TULIPOFIKA HAPA TUACHE UTANI NCHI INAANGAMIA HALAFU TANESCO WANASEMA WANAKATA RUFAA WAKATI HIZO PESA TUNAJUA ZINATOKA MFUKO WA TANESCO ZINAINGIA MIFUKO YA ROSTAMU AZIZI NA KIKWETE? HAWA JAMAA VIPI?!
Quote
+1
#1 joseph Masanja 2011-10-12 01:51 HUU MCHEZO ANATUCHEZEA KIKWETE NA GENGE LAKE LA WEZI AKINA ROSTAM AZIZI NA NGELEJA ANAYELINDA MASLAHI YA MWAJIRI WAKE WA ZAMANI ROSTAM AZIZI NA KIKWETE, WANADANGANYA TOTO ATI WANAKATA RUFAA HIVI HAO WANASHERIA WA TANESCO NI WANASHERIA WA KWELI AU WAIGIZAJI TU? WANAUMA NA KUPULIZA JAMANI HII NCHI AIBU TU, HIVI WEWE KIKWETE UNAFANYA NINI HAPO IKULU?
Quote
Refresh comments list