Wanahabari wanahitajika

Yaaani mwanahabari umwelekeze jinsi ya kuandika application letter?

Tanzania ya VIWANDA yaja
 
sioni shaka ya kumwelekeza, maana kila kampuni na style yao wanayotaka kwa muda huska,,,,
wenda wanataka jina la postion, na majina yako basi. ni mfano tu

Kazi njema
 
Application letter ni formal letter haina mbwembwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…