Mwana Mpotevu Platinum Member Sep 7, 2011 3,295 2,500 Sep 10, 2012 #1 Nina hamu ya kujua kama waandishi wa Iringa wataenda kutoa taarifa ya maandamano yao kwa RPC ambaye wamemsusia kufanya naye kazi kwa namna yoyote. Au wataamua kutokuandamana au watakuwa ngangari na kuingia mtaani bila kuiarifu polisi?
Nina hamu ya kujua kama waandishi wa Iringa wataenda kutoa taarifa ya maandamano yao kwa RPC ambaye wamemsusia kufanya naye kazi kwa namna yoyote. Au wataamua kutokuandamana au watakuwa ngangari na kuingia mtaani bila kuiarifu polisi?
Mwana Mpotevu Platinum Member Sep 7, 2011 3,295 2,500 Sep 10, 2012 Thread starter #3 Polisi said: Kibali kimetoka cha nchi nzima Click to expand... Dar walizuiwa mwanzo na sasa wameruhusiwa na Kova ambaye ni wa kanda maalum, hana uwezo wa kutoa kibali cha nchi nzima huyu
Polisi said: Kibali kimetoka cha nchi nzima Click to expand... Dar walizuiwa mwanzo na sasa wameruhusiwa na Kova ambaye ni wa kanda maalum, hana uwezo wa kutoa kibali cha nchi nzima huyu