TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,436
- 3,557
Wanafunzi wa Dar es salaam wananyanyaswa sana na makondakta wa daladala,watoto wanawahi mapema stand lakini hawawabebi na mara nyingine wanawatusi kabisa.
Wanaweza kukaa stand takribani masaa 4 wakisubiri usafiri lakini kila gari linalokuja wana wazuia.
Kuna watoto wa darasa la 1-7 mara kasha’s nimeshuhudia wakisukumwa na kondakta wasipande gari ,mara nyingine nimekua nikilazimika kuwalipia nauli ya mtu mzima ilikuwafariji.
Mtoto Anatolia nyumbani saa kumi alfajiri anaenda stand lakini anafika shule saa tatu ama 4;akitoka anafika saa 21 mpaka 23,
Wazazi kwanini msiwape nauli za watu wazima .
Hawa watoto hasa wakike wanaingia kwenye vishawishi kwa sababu kama hizi.