A anin-gift Senior Member Joined Feb 17, 2012 Posts 168 Reaction score 73 Dec 13, 2012 #1 Usiku mmoja konda alikuwa amelala, ghafla mdogo wake akaamka na kwenda chooni, alivyorudi ile anafunua neti tu, konda akamzuia na kumwambia wanafunzi wanatosha..
Usiku mmoja konda alikuwa amelala, ghafla mdogo wake akaamka na kwenda chooni, alivyorudi ile anafunua neti tu, konda akamzuia na kumwambia wanafunzi wanatosha..
Aggrey86 JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 853 Reaction score 155 Dec 13, 2012 #2 Hahaha!ha! Kudadeki konda noma hadi kitandani anajua anapakia wanafunzi..
kidadari JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 8,646 Reaction score 9,619 Dec 13, 2012 #3 Wanafunz wanarun daladala!
M markdendesi Member Joined Sep 7, 2012 Posts 45 Reaction score 5 Dec 14, 2012 #4 hasara ya mwenye roho mbaya kwa wanafunzi