Wanafunzi waliochaguliwa form five 2016/2017 kwenda NKASI sekondari, Mkutane hapa

GOLDGREEN9

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
351
218
Nkasi secondary inapatikana;
NCHI :Tanzania
MKOA:Rukwa
WILAYA:Nkasi
MJI:Namanyere

Ukifika stendi ya SUMBAWANGA MJINI tafuta Mabasi ya kwenda Namanyere nayo ni SHEMBOKO,RUCHORO,BISMARCK ,ETC


Mkuu wa shule anaitwa MANGA
Makamu ni SANGA
HP ni ANORD SOKONI.
Chakune members mtawakuta huko NA kujua chakune maana yake nini.
 
dah! samahan kidogo nimetoka nje ya mada je kuna yeyote anayefahamu shule ya longido mdogo wangu kachaguliwa huko naomben mnifahamishe mambo mbalimbali kuhusu hiyo shule
 
Back
Top Bottom