Wale wanafunzi wa O level na A level nchini Tanzania tukutane hapa tujuane. Muombe ushauri kwa yanayokwaza huko shuleni and let us share our experience mkiwa huko shuleni.
Haya uwanja ni wenu.
Mngejua maisha yalivyo taiti na jinsi utajavyoaibika na kuhaha ukilamba 0, msingeleta mbwembwe kwenye majukwaa huku ambako watu washakata vidato vyote hawana mawazo tena na shule.
Acheni maneno wakuu naona mmepakazia mpaka wanafunzi wamekaa kimya....hili ndilo jukwaa lenye watu wa kuwasaidia na sio kuwatenga kama mnavyosema. Na huu ni muda wa likizo wakuu
Acheni maneno wakuu naona mmepakazia mpaka wanafunzi wamekaa kimya....hili ndilo jukwaa lenye watu wa kuwasaidia na sio kuwatenga kama mnavyosema. Na huu ni muda wa likizo wakuu
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tano EGM mkoani mwanza. Tatizo langu nakosa hamasa ya kusoma . kitu kingine napenda kusoma IT nje ya nchi yaan nataka kupata scholarship sasa sijajua vigezo vya scholarship. Naomba msaada