Wanafunzi noma

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
779
Mwalimu alikuwa darasani anafundisha, ghafla na kwa bahati mbaya sana ushuzi ukamtoka (akajamba mbele ya wanafunzi) kwa aibu akaamua kuwapa mapumziko ya wiki moja wasije shule......
Baada ya ile wiki kwisha wanafunzi wakarudi shule na mwalimu akawa tayari kiakili kuendelea na masomo,alipoingia darasani akauliza :-haya watoto wazuri mara ya mwisho tuliishia wapi......darasa zima wakajibu:-ULIPOJAMBAAAAAAA
Mwalimu akaamua kuacha kazi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…