A
Nanukuu: "..................kupata wahadhiri wa kutufundisha masomo ya tiba kwa njia ya vitendo ngazi ya shahada ya kwanza ( occupational therapy) katika chuo kikuu MUHAS."Tunaomba waziri wa sayansi na elimu ya juu na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) mtusaidie tuweze kupata wahadhiri wa kutufundisha masomo ya tiba kwa njia ya vitendo ngazi ya shahada ya kwanza ( occupational therapy) katika chuo kikuu MUHAS.
Tangu chuo kifunguliwe hatujaanza kusoma masomo hayo , tunaambiwa walimu watakuja ila hatuwaoni wakati mwisho wa muhula unazidi kukaribia.
Kwakweli ada tumelipa ila hatupati haki ya kufundishwa kama inavyotakiwa kuwa.
Tunaomba kuwasilisha.
Occupational Therapy inatolewa pia na KCMC muda mrefu kabla ya hao MuhasMadogo hebu tulieni, mtafundishwa tu...
Hiyo bachelor degree ni mpya kabisa kwa hapa Tanzania, na inatolewa na MUHAS tu..
Hivyo hata walimu wake inabidi waletwe kutoka nje ya nchi, ambayo ni gharama kubwa...
Hiyo kozi muwe na uhakika mtafundishwa kwa zimamoto sana, hilo mkae mkilijua. Ila mkimaliza mtakuwa na soko sana..
Cha kufanya kwa sasa, chukueni curriculum yenu kisha muanze kujisomea mdogo mdogo, hiyo ndiyo maana ya "Adult Learning"...
Mwambie ili asitusumbue hapa eti " hiyo kozi ni mpya kabisa........"Occupational Therapy inatolewa pia na KCMC muda mrefu kabla ya hao Muhas
Nabeti: Ulitaka kusema: "First year ana hamu sana ya kuvaa koti jeupe na Stethoscope hadharani." auNaona First Year umekuja na moto....Chuo ni sehemu ya kujifunza sio kufundishwa any way sijui nilitaka kusema nini😃
Umeleta uzi kama anonymous, naona umekuja kucomment kwa id yako sasa😀😀Mwambie ili asitusumbue hapa eti " hiyo kozi ni mpya kabisa........"
Hapana-umepotea/umechemka. Mm ni mchangiaji tu.Umeleta uzi kama anonymous, naona umekuja kucomment kwa id yako sasa😀😀
KabisaaMchakato wa kupata waatalamu wa kufundisha hayo masomo unaendelea mkuu.
Kumbuka hii ni kozi mpya nchini hivyo kuweni na subira na jiongezeni kutafuta maarifa mtandaoni naamini mtaala wenu mnaujua.
Kila la kheri wataalamu