Sidhani,wangekua matapeli,wasingekua wanawapigia watu simu kuwaambia kuwa form zao za maombi zimepokelewa.ila tusiwaamin sana,maana wabongo hatuamiani!
kupigiwa simu sio tatizo kwan ww unafkiri kupigiwa simu ndo uwaamini?
Kaka angalia usije tapeliwa kirahisi. Hawa ni Matapeli tu. FULL STOP!!!Sidhani,wangekua matapeli,wasingekua wanawapigia watu simu kuwaambia kuwa form zao za maombi zimepokelewa.ila tusiwaamin sana,maana wabongo hatuamiani!
Sidhani,wangekua matapeli,wasingekua wanawapigia watu simu kuwaambia kuwa form zao za maombi zimepokelewa.ila tusiwaamin sana,maana wabongo hatuamiani!
Sidhani,wangekua matapeli,wasingekua wanawapigia watu simu kuwaambia kuwa form zao za maombi zimepokelewa.ila tusiwaamin sana,maana wabongo hatuamiani!
swali la kujiuliza, wao wanapata wapi pesa? hao watakaowakopesha watazirudisha ipi pesa zao maana mpaka mkopaji alipe, ni pale atakapo pata kazi. na watamfuatilia vipi kuwa kapata kazi? Kama HESLB wanahaha kuwapata, sembuse hawa ambao hawana meno ya kufuatilia. Anyway, ni kufanya utafiti wa kutosha kabla ya kulipia ada ya fomu.
mkuu,swala la wao wanapata wapi pesa me binafsi sijui.ila mnaweza kuwapgia kwenye 0765420512.
pia wawe wawazi tu kama bodi ya mkopo inavofanya.. waseme budget yao iliyopangwa kwaajili ya kutoa mkopo ni kiasi gani. maana inawezekana kabisa mkopo wakawa wanatoa ndio ila budget yao ni million 5 au kumi. unakuta watakao nufaika na mkopo ni watu watano tu au kumi kati ya vijana 1000 walioomba, maana huwezi kuwabana kwamba kwavile umeomba mkopo toka kwao basi ni lazima maombi yako yatimie.
mfano.. mimi nina milioni 10 mfukoni. ntaenda kuomba uhalali serikalini kwa kujiandikisha kama mtu ntakae kuwa nawakopesha watu
baada ya hapo ntajitangaza kuwa kwa anae taka mkopo ajaze form na kunitumia kwa njia yoyote ile na gharama ya form ni 30000..
kwa vile nchi hii ni wengi wanataka mkopo hasa usio na riba kubwa kama ya kwenye mabenki basi ntapata maombi zaidi ya 10000.
kwa vile waombaji ni wengi kuliko budget yangu ntakacho fanya ni kuitoa ile budget niliyojipangia ya mil10 kama mkopo kwa watu wachache tu kama ushahidi lakini nikawa nimeingiza kiasi kikubwa mno cha pesa kwa waombaji wa mkopo.
ushauri wangu ni kwamba tusiziamini sana izi taasisi za watu binafsi kwenye haya maswala ya mikopo ya muda mrefu. wengi wao huwa wanatumia usanii usanii. kama mabenki makubwa tu yameshindwa kulifanya hili basi sitegemei NGO changa kama hii iweze kufanya mambo makubwa kama haya
Hata mimi nlikosa mkopo bt nmeomba ushauri sn kwa wa2 wenye elimu zao bt nlichoambiwa ni kwamba hawa ni MATAPELI coz wanasema ktk fom zao utarudisha mkopo kulingana na VALUE ya ela kipindi icho je jiulize utarudisha kiasi gan wakati INFLATION inaongezeka kila kukicha so msikurupuke vionee huruma viwanja NA nyumba ya wazaz wako.jamani kuweni makini na hii taasisi. msikubali kutoa pesa zenu za form bila kuwatembelea hawa jamaa ofisini kwao kujidhihirishia wenyewe kuridhika na huduma wanayosema wanaitoa.mimi binafsi sina imani nao na nnachokiona hapa ni kutumia panic ya wanafunzi wanaohaha kukosa mkopo ili kujipatia kipato. imagine 20000 x 1000 students ni kiasi gani wanakiingiza mfukoni,. then wanaingia mitini kama deci. ...wanasema wamepata usajili tangu 2008..jiulizeni walikuwa wapi siku zote...jamani kuweni makini nembo yenyewe tu ya kampuni inaonesha hawa watu hawako serious. iyo huduma kwa wateja ni ya ajabu.. me nahisi huu ni mradi wa watu .ndugu zangu wanafunzi lengo langu hapa sio kuwakatisha tamaa najua mnapitia katika hali gani ivi sasa baada ya kukosa mkopo..ila nawaomba tu kuweni makini kabla hamjachukua hatua
mkuu,co kwamba me nawatetea,ila kwa kiasi flani wanajitahd kuuzihrishia umma wa watanzania kuwa ni wakwel,wangekua ni matapeli wasingejisumbua hata kukujulisha kwamba form yako imefika,so kuwa na imani tu mkuu.