Mwax 1
Member
- Dec 20, 2015
- 30
- 3
Nadhani wengi wetu tumesikia juu ya kufutwa kwa mfumo wa GPA na kurudishwa kwa mfumo wa zamani katika upangaji wa matokeo ya shule za sekondari.
Swali langu je wanafunzi wa kidato cha nne waliomaliza mwaka jana na matokeo yao yanatarajiwa kutoka mwezi ujao ni mfumo upi utatumika ktk matokeo yao?