Wanafisikia mpo?

4th law nimeipata ndugu, ila ile 3rd law sijaambulia kitu! Pamoja na hivyo, 4th law yafaa sana kule Jokes column!
 
Na sosholoji yangu nimetoka mweupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Newton's 3rd Law inasema To every action there is equal and opposite reaction.
Angalia hiyo mishale myekundu utaelewa how the law applies.
 
:drum: muziki ndio unaanza hivyo.
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…