wanadamu bwana tabu tu.

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,117
Kuna jamaa yangu kmsng namjua vlvyo kwan nmesoma nae A-level to Univesity jamaa mda mwing sana anakuwa serious na mambo yake yaan hana tym ya kupga domo,haibi cha mtu,hatukani mtu,hali cha mtu,hapigi mtoto wa mtu zaid akpta ni salamu tu ni mwepes wa kusklza bt mgumu sn wa kuongea very serious NMEMKUTA room kwake analalamika kwamba watu wanamsema vbaya ksa yuko srias sn anataka nmshauri bnafs nmemwambia aachane nao aangalie mambo yake hata uishje wanadamu huwawezi.
 
Umemkuta room ama bwenini? Poleni mwaya.

nmemkuta room kwake,kwan kapanga ana maisha yake nli-graduate nae mwaka 2011 so yupo kwake,jamaa yuko smart sn na maisha yake hana mda na mtu nayapenda sn maisha yake udomo kaya siyo issue,bt wanawake wa kitaa wanam-dis.
 
nyoosha basi mneno hivyo vifupisho vinakera.......

Ushamshauri umeleta humu ili tumshauri au tupate maujuzi???????

Ila umemshauri vyema, hongera.
 
nmemkuta room kwake,kwan kapanga ana maisha yake nli-graduate nae mwaka 2011 so yupo kwake,jamaa yuko smart sn na maisha yake hana mda na mtu nayapenda sn maisha yake udomo kaya siyo issue,bt wanawake wa kitaa wanam-dis.
umeleta humu jf, huna haja ya kufichaficha kinachomsibu. eleza kwa mapana yawezekana yanayomsibu kajitakia au si kitu cha kushangaa au kweli wanamuonea/mfatafata au ni mambo ya kawaida ilam kwake sababu ndo kwanza anapambana na maisha anaona mageni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…