Mnavaa uchi kisa wembamba sijui,,,
Kile chuo cha udaktari Dar ndo hakina hadhi kabisa yaani wakiwa field wanavovaa uchi mpaka mgonjwa unaogopa kuhudumiwa nae,,.
Hawajui kudetermine vazi la chuo na kazini, au mtaani.
Ni aibu sana.
Afu waNatumia ndumba kukamata wanaume wa watu,, kiufupi ni wahuni sanaaaaa naishi karibu na chuo na wamepanga wengine nje ya chuo vitimbi nashuhudia asubuhi na jioni mpaka nimezoea