Wanachuo wa taasisi ya elimu ya watu wazima wamedahiliwa kimakosa na serikali

gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
3,305
3,327
Hawa ni wanafunzi wa taasisi ya elimu ya watu wazima waliotoka form six moja kwa moja(frasher)ambao wamedahiliwa na serikali.Wanafunzi hawa ni wale wanaosoma Bachelor degree in adult education and continue(BACE).
Kwasasa imegundulika kwamba course ya BACE inayotolewa chuo hiki ni maalumu kwa walimu wanaojiendeleza pekee na haina cord ya ajira kwa wanafunzi hawa wa frashers.
Jana wanafunzi hawa wali organise na kwenda moja kwa moja wizara ya elimu ili kutafuta suluhu ya jambo hili lakini hawakumpata mh Ndalichako kwani kwa sasa yupo dodoma.
Ikumbukwe kua ualimu ni course ambayo watoto wa wanyonge hukimbilia ili watakapomaliza wawe na uhakika wa ajira.
Mh Ndalichoko popote ulipo fuatilia ukweli wa jambo hili mapema utaepusha uwezekano wa kutokea migogoro isio ya lazima
 
Back
Top Bottom