MSIMISEKI SENIOR
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 459
- 287
"Yatupasa kusali na kuswali sana maana tcu ni shedwaaaaaaaaa"Iman yao ni kwamba wenye diploma walifeli shule sasa chakushangaza wametoa wa form six wanaenda degree mwaka huu na wanajipongeza kwa kaz nzur ambazo wamezifanya juu ya form six, cjui sis wa diploma degree zetu ni za vyuo vingine haiji akilin kila kitu tunakua wa mwisho afu Hakuna taarifa zozote je tuliokua tumeapply mwanzon tukiwa na hizo jpa tukikosa vyuo kuna second apply tena hakuna jibu, hakuna haki hapo