Wanachokifanya CCM Dodoma kinanipa homa kali

Poet Mzox

Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
16
Reaction score
5
Habari
Kwa kweli nmejaribu kuipitia hii Rasimu ya bunge la Sitta, sio siri kwa sasa sijielewi maana tumbo la uchungu kutoka moyon linaniuma sana, Wakat mwingine koo linapata hasira nabaki nikitweta mithili ya mtu alietoka kufanya mazoezi na pumzi imemkata.

Watanzania hii si sawa eti kisa umeshika mpini bac ndo uwaonee wanyonge tena wapigakura.

Jamani ujue naumia kwa sababu ya Rasimu ya BMK, Sitta kwa nn unatufanyia hivi?

Hivi kwa nini mnataka mjitengenezee mazingira ya kututawala milele wakat hamna nia ya kutusaidia bali kujisaidia wenyewe?

Tumbo langu jamani, Koo langu jamani?

Hii ni kupeana tu vidonda vya tumbo
 
Pole sana mkuu...CCM use ignorance of Tanzanian to benefit and to continue ruling this nation. This can't be altered unless we apply a strong external force....and this need proper planning and willingness.
 
Very well said, and I concur with you brother and this reminds me of Newton's first law of motion " Every thing will remain in its original state, until acted upon by external force"
 
Kama unaumia ujue kuna wenzako kwa mamilioni nao wanaumia kama wewe. Lakini haya yote yanatokana na Umaskini wa fikra kwa watanzania walio wengi.
 
Mwanzoni nilidhani naumia peke yangu tu, CCM tuoneeni huruma basi
 
Ccm na sita ni majambazi ya kutupa ttz watanzania wepesi kusau kesho ktk uchaguzi wa serikali za mitaa mtaona watanzani ni wehu ona nape na kinana wanavyowasanii kwa masania ya wali maharage na wao wanafurahia eti wanapendwa huyo kinana ndo maisha yake hayon?waacheni wale tu kumanina ci mnwapa wenyewe
 
Habari

Kwa kweli nmejaribu kuipitia hii Rasimu ya bunge la Sitta, sio siri kwa sasa sijielewi maana tumbo la uchungu kutoka moyon linaniuma sana, Wakat mwingine koo linapata hasira nabaki nikitweta mithili ya mtu alietoka kufanya mazoezi na pumzi imemkata.
Watanzania hii si sawa eti kisa umeshika mpini bac ndo uwaonee wanyonge tena wapigakura. Jamani ujue naumia kwa sababu ya Rasimu ya BMK, Sitta kwa nn unatufanyia hivi??? Hivi kwa nn mnataka mjitengenezee mazingira ya kututawala milele wakat hamna nia ya kutusaidia bali kujisaidia wenyewe??
Tumbo langu jamani, Koo langu jamani?? Hii ni kupeana tu vidonda vya tumbo
bado kuharisha...halafu kapime akili cdm imewafanya mazezeta. cdm inadai udereva wakati nafasi yake ni utingo na kugonga debe.
 
Nadhani sasa tumeshampata adui namba moja wa nchi hii ni nani.. La msingi iwe mtu mmojammoja, kikundi, familia, koo, marafiki, ndugu ni lazima tushauriane ili tupeane mbinu jadidifu na imara za kukitoa CCM Madarakani... Makaburu Afrika ya kusini waliwanyanyasa sana wazawa lakini ikafika kipindi walitumia mbinu zaidi mpaka kufikia kupata uhuru na usawa..

Hata hapa kwetu kipindi cha ukoloni kilikuwa kigumu sana,,, Wakoloni walitumia majeshi, mahakama kukandamiza raia, hata Nyerere alishitakiwa na kutiwa hatiani kwa uchochezi bahati nzuri mchango ukatembea TANU na Nyerere akalipiwa faini ili asiende jela...

Hakuna ubishi CCM inatumia mbinu zilezile za kikoloni, polisi, mahakama na vyombo vingine vya dola kukandamiza uhuru na haki kwa raia.. Hebu tuseme imetosha kwa vitendo... Muulize rafiki , ndugu au jamaa wa karibu anafikiria nini na tutatokaje hapa..
 
Ahsante sana Mkuu kwa bandiko lililotulia.

Hali ni mbaya...CCM wanadhani hii nchi ni yao peke yao.
 
asante mkuu kwa ujumbe wenye hekima na busara ccm ni janga la taifa lazma vijana tuelimisha wenzetu mbinu mpya za kuwaondoa hawa wahuni wa ccm madarakani
 
Mwanzoni nilidhani naumia peke yangu tu, CCM tuoneeni huruma basi

There is nothing like kuonewa huruma, let take action as we have the power to remove them from the power. Kura ndo silaha yetu ya mwisho, tuhamasishe vijana popote pale ulipo wajiandikishe then atatoka tu.
 
bado kuharisha...halafu kapime akili cdm imewafanya mazezeta. cdm inadai udereva wakati nafasi yake ni utingo na kugonga debe.

Comment kama hii ingetolewa na kitu kinachoishi pluto nisingeshangaa, lakini binadamu anaeishi dunia hii hahitaji kuambiwa na yeyote yule kinachoendelea na BMK is very wrong na inatakiwa imkasirishe yeyote yule mwenye mapenzi mema na not only tz but humanity as a whole.
 
pole mkuu, kweli wewe ni mkereketwa wa magwanda. sasa itakuaje maana hata mahakama inaona bmk iko sawa.
 
Siku mpaka uliwe kabaaang ndio utajua madhara ya hao maccm nchi. Sijui una umri gani isije ikawa mtu wa 1940s?
 
Back
Top Bottom