Wanachofurahisha ‘Sukuma gang’ ni kwamba hawajamsaliti Shujaa wao hadi leo tofauti na Friends of Lowassa walitawanyika mchungaji alipopigwa rungu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
Kwanza kabisa nawatakia wana Jf wote maandalizi mema ya Christmas.

Sisi makamanda tunaokwenda Moshi tuwe makini tusiwapelekee wazee wetu toleo jipya la covid 19.

Mwisho, Hongereni the so called Sukuma gang kwa namna mnavyomuenzi shujaa wenu hata sasa, nawafananisha na wale akina mama waliotembea na Yesu njia yote ya msalaba hata mauti na ndio wakawa mashahidi wa kwanza juu ya ufufuko wake.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
 
Walinda Legacy Hari Mbaya
 
Walinda Legacy Hari Mbaya
Kakudanganya nani ...mama anajipiga dole mwenyewe sisi tumetulia tu tunamcheki ,maana kateua mafisadi wakati hana uwezo wa kuwatumbua watakapo chafua hivyo mbinu pekee atakayo tumia ni kuficha taharifa ,mfano ni makufanya ya mapato yameshuka sana ila anaficha tozo zimeua uchumi wa fedha mitandaoni kaficha bandarini bidhaa zinazo ingia zimeongezeka lakini cha ajabu mapato yameshuka sasa hivi wanakusanya 70% ya kile alichokuwa anakusanya jpm
 
Kwanza kabisa nawatakia wana Jf wote maandalizi mema ya Christmas.

Sisi makamanda tunaokwenda Moshi tuwe makini tusiwapelekee wazee wetu toleo jipya la covid 19.

Mwisho, Hongereni the so called Sukuma gang kwa namna mnavyomuenzi shujaa wenu hata sasa, nawafananisha na wale akina mama waliotembea na Yesu njia yote ya msalaba hata mauti na ndio wakawa mashahidi wa kwanza juu ya ufufuko wake.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Mapemaa sana bwashee... Hata mwaka haujaisha toka mungu wao atwaliwe....Bado wapo kwenye denial....

Ila watapukutukia kama upupu we subiri uone
 
Kwanza kabisa nawatakia wana Jf wote maandalizi mema ya Christmas.

Sisi makamanda tunaokwenda Moshi tuwe makini tusiwapelekee wazee wetu toleo jipya la covid 19.

Mwisho, Hongereni the so called Sukuma gang kwa namna mnavyomuenzi shujaa wenu hata sasa, nawafananisha na wale akina mama waliotembea na Yesu njia yote ya msalaba hata mauti na ndio wakawa mashahidi wa kwanza juu ya ufufuko wake.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Kumbe Christmas imekaribia ngoja tujiandae
 
Kakudanganya nani ...mama anajipiga dole mwenyewe sisi tumetulia tu tunamcheki ,maana kateua mafisadi wakati hana uwezo wa kuwatumbua watakapo chafua hivyo mbinu pekee atakayo tumia ni kuficha taharifa ,mfano ni makufanya ya mapato yameshuka sana ila anaficha tozo zimeua uchumi wa fedha mitandaoni kaficha bandarini bidhaa zinazo ingia zimeongezeka lakini cha ajabu mapato yameshuka sasa hivi wanakusanya 70% ya kile alichokuwa anakusanya jpm
Anza wewe kufisadi afu tuone kama atakosa uwezo wa kukutumbua
 
Kwanza kabisa nawatakia wana Jf wote maandalizi mema ya Christmas.

Sisi makamanda tunaokwenda Moshi tuwe makini tusiwapelekee wazee wetu toleo jipya la covid 19.

Mwisho, Hongereni the so called Sukuma gang kwa namna mnavyomuenzi shujaa wenu hata sasa, nawafananisha na wale akina mama waliotembea na Yesu njia yote ya msalaba hata mauti na ndio wakawa mashahidi wa kwanza juu ya ufufuko wake.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Tuambie na kundi lako pia.
 
Back
Top Bottom