Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,668 Jul 25, 2012 #1 Wanachama 1,200 wamejivua gamba na kuvaa gwanda katika jimbo la ole sendeka
C Curriculum Specialist JF-Expert Member Joined Oct 8, 2007 Posts 2,732 Reaction score 750 Jul 25, 2012 #2 Apolonary said: Wanachama 12,00 wamejivua gamba na kuvaa gwanda katika jimbo la ole sendeka Click to expand... Hiyo figure weka vizuri haieleweki! Inapaswa kuwa 1,200 siyo 12,00!
Apolonary said: Wanachama 12,00 wamejivua gamba na kuvaa gwanda katika jimbo la ole sendeka Click to expand... Hiyo figure weka vizuri haieleweki! Inapaswa kuwa 1,200 siyo 12,00!
G Gagnija Platinum Member Joined Apr 28, 2006 Posts 13,751 Reaction score 14,583 Jul 25, 2012 #3 Curriculum Specialist said: Hiyo figure weka vizuri haieleweki! Inapaswa kuwa 1,200 siyo 12,00! Click to expand... Nilifikiri imekosewa kwenye heading ya thread, kumbe na kwenye post nako! JF haikaukiwi burudani.
Curriculum Specialist said: Hiyo figure weka vizuri haieleweki! Inapaswa kuwa 1,200 siyo 12,00! Click to expand... Nilifikiri imekosewa kwenye heading ya thread, kumbe na kwenye post nako! JF haikaukiwi burudani.
C Cashbonnie88 New Member Joined Jun 9, 2011 Posts 2 Reaction score 0 Jul 25, 2012 #4 thats nyc of u CHADEMA hatulali mpaka kieleweke
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,668 Jul 25, 2012 Thread starter #5 Curriculum Specialist said: Hiyo figure weka vizuri haieleweki! Inapaswa kuwa 1,200 siyo 12,00![nimekupata Click to expand...
Curriculum Specialist said: Hiyo figure weka vizuri haieleweki! Inapaswa kuwa 1,200 siyo 12,00![nimekupata Click to expand...
BabaDesi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2007 Posts 6,228 Reaction score 4,195 Jul 25, 2012 #6 .... Gamba wee,You Wish....!
Makala Jr JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 3,395 Reaction score 1,112 Jul 25, 2012 #7 Iboreshe thread Kamanda,hilo tukio limetokea wapi,lini na ni kina nani waliiowezesha mafanikio ya harakati hizo na baadhi yao wameongea nini baada ya kupokea kadi hizo? Naamini 2015 tutafanya mabadiliko ya kihistoria Tanzania.
Iboreshe thread Kamanda,hilo tukio limetokea wapi,lini na ni kina nani waliiowezesha mafanikio ya harakati hizo na baadhi yao wameongea nini baada ya kupokea kadi hizo? Naamini 2015 tutafanya mabadiliko ya kihistoria Tanzania.