WanaCCM wanaompinga Magufuli siwaelewi

Mleta hoja ulilenga kuwashirikisha kitu gani wanajf? Au unataka kushindana na Bashe? Maana unamshambulia as if una hoja kumbe wivu na utoto tu unakusumbua. Jifunze kujenga hoja kwani kumsemea humu hakukusaidiii wewe wala chama chako. Sikutukani lakini uwezo wa hiyo akili inayoongoza huko kwenu ipo very low na hata ya kwako ndio kabisaaa charge imeisha!
 
Mleta mada, sina shaka kuwa maisha yako yote hutegemea uwepo madarakani kwa CCM. Si kwa elimu yako. Pole sana.
 
WEWE UTAKUWA HUMPHREY POLEPOLE,UNAPOONA WAFUSI AWAELEWI PROPAGANDA ZAKO.WENYE AKILI TUMESHAKUJUA UNAPIGANIA TUMBO,SO TUNAKUPUUZIA MKUU.

[HASHTAG]#NJAA[/HASHTAG] MBAYA.
 
Heading imetosha kutathmini kilichoandikwa kwamba ni urojo
 
Leo wamekua hawana elimu duh nyie kweli vinyonga na ndumilakuwili
 
Kwani asipingwe yeye ni nani? Huyu mtu ni wa kupingwa na watanzania wote wanaojitambua. Hivi inawezekanaje anachukua pesa zetu za wavuja jasho tena bila idhini ya Bunge halafu anaenda kujengea uwanja wa ndege huko kijijini kwao ambako hata abiria kumi hawawezi kupatikana. Huoni kwamba kalitia hasara taifa hili? Tutampinga muda wote na ikifika 2020 tutamrejesha kwao akafuge punda wale wanaomulikwa na taa za barabarani.
 
 
Kwan ubaya wa kumpinga mwenyekiti wetu ni upi?
Kikubwa akipingwa kwa hoja bhasi zijibiwe hoja hizo na sio kuona wanaopinga ni wasaliti
 
Et bashe elimu ndogo ila akina mlinga na msukuma plus yule dada ndio wana elimu kubwa. Tz bado sana
 
We huna habari ndugu, asilimia 99 ya wanaoiunga CCM mkono ni wajinga na maskini...mfano. Agness Marwa na Lusinde(Utafiti wa Twaweza)

Bashe ni CEO wa habari Corporation, hana njaa ndo maana ana uwezo wa kumchapa Magu ngumi za uso na maisha yakaendelea
 
Akili kubwa yenyewe ni Kama ya AGNES MARWA?
Teh Teh Teh Teh
 
KInachojadiliwa bungeni kwa sasa ni mpango wa maendeleo wa taifa siyo miradi ya Magufuli. Kimsingi miradi yote inayoendelea ni ya Taifa na siyo ya mtu binafsi. Jaribu kushirikisha kidogo ubongo wako kabla hujaandika thread.
 
Mkuu unasaka nyadhifa? Hueleweki
 
Nafikiri ufahamu wako ni mdogo sana! Rudi ukajitathmini upya.
Mimi naiona comment yako kuwa ni ya kijinga sana, vinginevyo wewe ututhibitishie kuwa wewe ulisomea taaluma ipi ya kujua "kiwango cha ufahamu" wa binadamu mwenzako. Kama utashindwa kuthibitisha humu ndani basi tutakuchukulia kuwa ni sawa na mwehu ambaye akimuona mtu mzima mwenye akili timamu, mwehu huyo humwita mwenye timamu mwehu. Si ajabu uko kwenye kundi hilo. Jitathimini.
 
Mawazo Mgando inaonekana unafagilia UNAFIKI sasa tambua wengine Unafiki Ni MWIKO
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…