Huwa najiuliza nashindwa kupata jibu kuwa ni kwa nini watu wengi wanaokuwa na element za rushwa na ufisadi hupenda na hukimbilia kijiunga na CCM sipati jibu kuwa nini kilichojificha hapo?
Kila anayetuhumiwa kwa rushwa au ufisadi Mara nyingi utakuta ama yuko ndani ya mfumo wa CCM au ni zao la Chama cha mapinduzi. WanaCCM huko huwa mnafundishana namna ya kupiga madili? maana hata tuhuma nyingi zinazozungumziwa kwa sasa karibu zote zinahusu wale walioko ndani ya CCM au zao la CCM.