Wanaacha kuuliza kwanini Sawadogo na Okwa wamecheza mechi mbili msimu mzima!

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Yes, ukistaajabu ya Okwa utayaona ya Sawadogo, hakika mashabiki wa Simba ipo shida kichwani kwa oblangata. Hizi kelele wanazopiga, hizi furaha walizo nazo sijui wanazitoa wapi!

Nimejiuliza maswali lukuki sana, sema hiki kizazi sio cha kuhoji bali ni kizazi cha uchawa, kujipendekeza sana mbaya zaidi finafanywa na vijana wenye nguvu zao.

Leo nlitegemea mashabiki wa Simba wawe na mijadala mizito sana juu ya timu hayo ila walaa ndio hao wananenepa kwa Nabii kuondoka Yanga, hakika viongozi wao wanafurahia sana kuongoza hawa watu ndio maana wanafanya watakalo.

Tumeshuhudia sajili nyingi sana za kisanaa kutoka Simba hebu leo niambie, Dejan yupo wapi, striker tulioambiwa anafunga huku kafunga macho, kiko wapi?

Mashabiki wa Simba wanaacha kuhoji kwanini Okwa au Sawadogo wachezaji wa kimataifa waliopanda ndege karibia tatu mpaka kufika Tz ila wameishia kucheza mechi 2 kama sio 4 bora Sawadogo kaja dirisha dogo ila Okwa sasa.

Waulize mashabiki wamechukua hatua gani kuzuia haya yasiyokee tena Jibu lao tunafuraha Mayele anaenda Kaizer Chiefs so hakutokua na mtetemo tena.

Hakika hawa jamaa hawapo serious kabisa wamebaki na propaganda tu.
 
Yes ukistaajabu ya Okwa utayaona ya Sawadogo, hakika mashabiki wa Simba ipo shida kichwani kwa oblangata hizi kelele wanazopiga, hizi furaha walizo nazo sijui wanazitoa wapi.

Leo nlitegemea mashabiki wa Simba wawe na mijadala mizito sana juu ya timu hayo ila walaa ndio hao WANANENEPA KWA NABII KUONDOKA YANGA, hakika viongozi wao wanafurahia sana kuongoza hawa watu ndio maana wanafanya watakalo.

Tumeshuhudia sajili nyingi sana za kisanaa kutoka SIMBA hebu leo niambie Dejan yupo wapi striker tulioambiwa anafunga huku kafunga macho KIKO WAPI?

Mashabiki wa Simba wanaacha kuhoji kwanini OKWA au SAWADOGO wachezaji wa kimataifa waliopanda ndege karibia tatu mpaka kufika Tz ila wameishia kucheza mechi 2 kama sio 4 bora Sawadogo kaja dirisha dogo ila Okwa sasa.

Hao ni mbumbumbu fc mkuu
 
Wewe ushauliza kwanini beki la CHAN limekuwa chochoro????
 
FB_IMG_1682646137959.jpg
FB_IMG_1682646137959.jpg
FB_IMG_1682646137959.jpg
FB_IMG_1682646137959.jpg
 
Yes, ukistaajabu ya Okwa utayaona ya Sawadogo, hakika mashabiki wa Simba ipo shida kichwani kwa oblangata. Hizi kelele wanazopiga, hizi furaha walizo nazo sijui wanazitoa wapi!

Nimejiuliza maswali lukuki sana, sema hiki kizazi sio cha kuhoji bali ni kizazi cha uchawa, kujipendekeza sana mbaya zaidi finafanywa na vijana wenye nguvu zao.

Leo nlitegemea mashabiki wa Simba wawe na mijadala mizito sana juu ya timu hayo ila walaa ndio hao wananenepa kwa Nabii kuondoka Yanga, hakika viongozi wao wanafurahia sana kuongoza hawa watu ndio maana wanafanya watakalo.

Tumeshuhudia sajili nyingi sana za kisanaa kutoka Simba hebu leo niambie, Dejan yupo wapi, striker tulioambiwa anafunga huku kafunga macho, kiko wapi?

Mashabiki wa Simba wanaacha kuhoji kwanini Okwa au Sawadogo wachezaji wa kimataifa waliopanda ndege karibia tatu mpaka kufika Tz ila wameishia kucheza mechi 2 kama sio 4 bora Sawadogo kaja dirisha dogo ila Okwa sasa.

Waulize mashabiki wamechukua hatua gani kuzuia haya yasiyokee tena Jibu lao tunafuraha Mayele anaenda Kaizer Chiefs so hakutokua na mtetemo tena.

Hakika hawa jamaa hawapo serious kabisa wamebaki na propaganda tu.
Utapata kifafa cha mimba mwaka huu unaanzisha nyuzi za Simba kila baada ya masaa mawili unahangaika kama kuku anayetaka kutaga. Hamia kabisa huku dada mkubwa
 
POLE SANA KWA UJINGA ULIO NAO.

HUJUI TOFAUTI YA OKWA NA OCRA.

Muwe mnazionea huruma serva za Jamii forum kwa kujaza UPUMBAVU.

Angalia wewe ndio unaweza kuwa umeingia kichwa kichwa umeomba lifti kwenye kifaru cha jeshi
Si bora hata Okrah kacheza mechi kadhaa mghana yule ambaye aliomba kuvunjiwa mkataba kutokana na mambo ya kiswahili,nasema Okwa mnaigeria yule kabla ya kumpeleka Ihefu ambako nako kakosa namba alicheza gemu ngapi Simba.
 
Ila MO mkatili!yaani ni bilionea lakini anaendelea kuwapiga tu.mpaka wanakaaa chini kumlilia
 
Back
Top Bottom