fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,693
- 9,302
Watakua Wapumbavu mnooooo mnoooo, hili ni la Nchi sio club. Tuache kuitumia bangi VibayaKauli mbiu ya simba ni ubaya ubwela,sasa kwa kuwa wamewaalika watu walioitendea yanga ubaya,kwenye hiyo,basi wajibu wetu ni kuwajibu ubaya kwa ubaya.Tukaishangilie al masry kesho
mungu ibariki al masry...eeeemen!!!Kauli mbiu ya Simba ni ubaya ubwela, sasa kwa kuwa wamewaalika watu walioitendea Yanga ubaya, kwenye hiyo, basi wajibu wetu ni kuwajibu ubaya kwa ubaya.
Tukaishangilie Al Masry kesho
Ameenmungu ibariki al masry...eeeemen!!!
Mkuu wenye akili pale Yanga sasa mmefikia watatu, nimekuongeza na wewe, Mzee JK na Mzee Manara..Mimi simba ikifungwa, sawa tu. Ila hata kwa mtutu wa bunduki, bado siwezi kupoteza nguvu zangu kuwashangilia Waarabu.
supaNamimi naahidi nitakuwepo kuwashangilia ndugu zetu katika mpira Al-Masry naahidi
mtajua wenyewe lazma almasry afe chuma 4Kauli mbiu ya Simba ni ubaya ubwela, sasa kwa kuwa wamewaalika watu walioitendea Yanga ubaya, kwenye hiyo mechi,basi wajibu wetu ni kuwajibu ubaya kwa ubaya.
Tukaishangilie Al Masry kesho
lazma keshokutwa upakatweTicket mkononi tayari,Al Masry timu yangu ya utotoni.
Njooni tuwapakate. Hatutaki kiherehereKauli mbiu ya Simba ni ubaya ubwela, sasa kwa kuwa wamewaalika watu walioitendea Yanga ubaya, kwenye hiyo mechi,basi wajibu wetu ni kuwajibu ubaya kwa ubaya.
Tukaishangilie Al Masry kesho