Wana udsm/duce plz msaaada

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
17,287
10,672
Mimi nimechaguliwa duce BSc with education lakini nilitumia equivalent nimefika hapa nimeambiwa nichague kozi za arts nami nimeridhia nimeandika barua kuomba kupangiwa BAED(GEOG&PS) Vipi hii process ya kubadili haitanisumbua mkopo wangu je coz nilipata 100% itakuaje hiyo then wakati nasubiri majibu nifanyeje coz nahang tu
 
is it possible? utoke science uende Arts!!!!

au labda hiyo equivalent yako ni ya arts? na kwa nn ulichaguliwa BSC?

angalia sana
 
diplomas nilikuwa namasomo ya hisabati na geography na advance nilifanya pgm ilaphysics na maths skuwa na matokeo mazuri geog ndo nilifanya vizuri ndo maana nilikubali kwenda arts sasa nauliza process c ngumu then mkopo je
 
tatizo ya Elimu za kuunga unga mara leo usome KISWAHILI kesho urseit JOGRAFIA mwakani tena urisiti HISTORIA mwaka mwingine urisit CIVICS ukimaliza unaenda kusoma fom 5 MAKONGO huku unatafuta credit ya 3 duuh! MTU MMOJA VYETI 9 ndo maana hata umewachanganya hao wa UDSM/DUCE wakuchague kozi ipi sidhani hata kama utamaliza hiyo Arts uliyoshauriwa. maana hujui unachokitaka unapelekwa kama bendera mlingotini. Haya sasa umeambiwa nenda Mabibo 369 ukapewe darasa ila uwe makini mdogo wangu asije na huyo akakushauri uache chuo na wewe ukakubali...WASOMI WETU WA SASA MBONA KAZI TUNAYO?
 
Back
Top Bottom