Namkumbuka Joram Mwakatika.......... alikuwa ananyoa upara, alicheza namba tanoJF
Nitapenda mtu atakayenipa habari zaidi juu ya timu ya Pamba mwanza ambayo kweli ilitisha sana anga za kandanda miaka ya tisini.
ningependa kujua yafuatayo,
a) Hivi yule kocha aliyefundisha ile timu alikuwa mtanzania? nina maana kama ni mtanzania kumbe kweli tunaweza
b) Pili unitajie kikosi kamili nakumbuka wachezaji wachache kama George masatu, Remao Mkani, Madata Lubigisa, Fumo Felician, Beya Simba, George masatu, Hussein Marsha, Halfan Ngassa na John Makelele ( Zig Zaga) kama utanipa position zao uwanjani nitafurahi zaidi
Mimi tangu nizaliwe ni mpenzi wa Simba na napenda Mpira sana, ila kwa sasa siangalii sana mpira wa nchini kwetu manake sipendi kuumiza roho yangu, badala yake nacheki games za ulaya, niliipenda Pamba sana kwani mpaka sasa sidhani kuna timu imefikia kiwango cha hawa jamaa wakati huo - manake kwa sasa tungesema ilikuwa ni Attaching football yaani mpira wa kushambulia ni kama mfumo ya Barcelona wa wale wapenzi wa mipira ya ulaya.
Je kuna Mtu wakati huo aliweka video ya hawa jamaa wakiwa wanacheza game kama ipo basi nitaipataje? na pia tunaweza ipeleka kwenye kituo cha TV ili watuonyeshe watanzania njisi Tupwisa lilivyokuwa linatisha at that time.
Pia kama huyu kocha yupo nitampata vipi aeleze Strategic plan yake (mpango mkakati)aliyotumia kuwakusanya na kuwafundisha hawa jamaa kwa ustadi wa juu kama vile.
Asanteni Wakuu
Alutaaa...
wakati ule Pamba ya Mwanza lilikuwa na jopo la makocha hawa Marehemu Maftah na Mzee Pius NyamkoJF

wakati ule Pamba ya Mwanza lilikuwa na jopo la makocha hawa Marehemu Maftah na Mzee Pius Nyamko
1-Poul Rwechungura
2-Rashid Abdallah
3-Abdallah Boli
4-James Washokera
5-George Masatu
6-Mao Mkami (Ball Dance)
7-Beya Simba
8-Hussein Masha
9-Kitwana Suleiman
10-Fumo Felicia
11-Hamza Mponda
1-Nico Bambaga
2-Msonga Rashid
3-Deo Mkuki
4-Madata Lubigisa

Unajua hapa kuna Pamba mbili.
1. Kuna Pamba ambayo kipa ni Madata Lubigisa, RP, kuna kina Ally Bushiri, Halfan Ngasa baba wa Mrisho, george gole na wengine.
2. Hii sasa ndo Pamba ya mwisho ya kina Juma Amir, Masha, Masatu, Mwakalebela mchezaji na si huyu wa TFF anayefutuka kila kukicha....
Sasa nisubirini cku nikilewa nije niwape full list ya Pamba ya kwanza na ya Pili, enzi hizo Pamba wanaitwa wana kawekamo.
Bado yuko huko sasa hivi anabeba mabox badala kudaka mpira.Kuna huyu kipa Rwechungura si alitimukia USA (NYC/NJ?.) hivi bado yupo huko?.
Bado yuko huko sasa hivi anabeba mabox badala kudaka mpira.[/QUOTE
mh yote maisha lakini, nina imani box linamlipa zaidi ya hiyo alokuwa anaipata kwa kudaka mpira. By the way sidhani kama angekuwa bado anaupiga kwani umri bana!.
Hivi huyu Nteze John yupo wapi kwa sasa na anafanya nini?.Kuna hii iliyomalizikia,ambayo watangazaji walikuwa wakiita dakika tatu,ilikuwa chini ya Pius nyamko(wenyewe tulikuwa tukimuita batalokota).Yeye alikuwa na theory ya kushambulia,hivyo alikuwa akiwaambia wachezaji wake"Jaza lupepo tuu (wafanye sana mazoezi ya kuwa na pumzi uwanjani) batalokota benyewe kunyavu"nafikiri alikuwa raia wa kongo ingawa alifia Mwanza.Nashangaa wachangiaji wamemsahau Nteze John Lungu,jamaa alikuwa anaujua mpira si mchezo.Enzi hizo kutokana na soka zuri walilokuwa wakicheza,hata kama ni Pamba na Lipuli ccm kirumba ilikuwa inafurika watazamaji.
Unajua unanikumbusha mbali sana,enzi hizo pale ccm kirumba kulikuwa na mlinzi bubu alikuwa anaipenda pamba hatari.Yeye alikuwa anasema,"aaa pamba,aapamba waaaaa mmmmm,anakuonyesha vidole vitatu"akimaanisha kuwa Pamba kama mvua itanyesha basi si chini ya bao tatu.