Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,652 Reaction score 72,821 Oct 21, 2024 #21 KENZY said: sasa ni hivi mtake msitake machinjio ni palepale kwa mkapa!,tunaua tunazika hapohapo hatusafirishi maana na sanda mmeshajivika tayari!.. tutahakikisha yule spider man wenu anakua nyumbu man!..π Click to expand... Sawaaaaa...umepewa mdomo mimi ni naniii nikupingeee...tutakutana tena bado ligi inaendelea...
KENZY said: sasa ni hivi mtake msitake machinjio ni palepale kwa mkapa!,tunaua tunazika hapohapo hatusafirishi maana na sanda mmeshajivika tayari!.. tutahakikisha yule spider man wenu anakua nyumbu man!..π Click to expand... Sawaaaaa...umepewa mdomo mimi ni naniii nikupingeee...tutakutana tena bado ligi inaendelea...
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,570 Reaction score 89,213 Oct 21, 2024 #22 Kalpana said: Sawaaaaa...umepewa mdomo mimi ni naniii nikupingeee...tutakutana tena bado ligi inaendelea... Click to expand... mtani hivi sasa huniwezi hiyo dabi nyengine utaweka mpira kwapani huku ukilia..π
Kalpana said: Sawaaaaa...umepewa mdomo mimi ni naniii nikupingeee...tutakutana tena bado ligi inaendelea... Click to expand... mtani hivi sasa huniwezi hiyo dabi nyengine utaweka mpira kwapani huku ukilia..π
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,652 Reaction score 72,821 Oct 21, 2024 #23 KENZY said: mtani hivi sasa huniwezi hiyo dabi nyengine utaweka mpira kwapani huku ukilia..π Click to expand... Msyyuu...yani juzi asingejifunga mngeambulia patupu...
KENZY said: mtani hivi sasa huniwezi hiyo dabi nyengine utaweka mpira kwapani huku ukilia..π Click to expand... Msyyuu...yani juzi asingejifunga mngeambulia patupu...
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,570 Reaction score 89,213 Oct 21, 2024 #24 Kalpana said: Msyyuu...yani juzi asingejifunga mngeambulia patupu... Click to expand... tulijitahidi kitokuwafunga lkn uzalendo ukawashinda wenyewe mkaamua mjipachike!, achana na yajuzi linalokuja utalia nakusaga mapengo najua sasahivi hauna meno! so ni mwendo wa nyamnyam tu..π
Kalpana said: Msyyuu...yani juzi asingejifunga mngeambulia patupu... Click to expand... tulijitahidi kitokuwafunga lkn uzalendo ukawashinda wenyewe mkaamua mjipachike!, achana na yajuzi linalokuja utalia nakusaga mapengo najua sasahivi hauna meno! so ni mwendo wa nyamnyam tu..π
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,652 Reaction score 72,821 Oct 21, 2024 #25 KENZY said: tulijitahidi kitokuwafunga lkn uzalendo ukawashinda wenyewe mkaamua mjipachike!, achana na yajuzi linalokuja utalia nakusaga mapengo najua sasahivi hauna meno! so ni mwendo wa nyamnyam tu..π Click to expand... πππnacheka kwa dharauuuu... Kenzy kenyz nakuita mara mbili...nakusihi punguza mdomo mtani wangu utaumbuka...
KENZY said: tulijitahidi kitokuwafunga lkn uzalendo ukawashinda wenyewe mkaamua mjipachike!, achana na yajuzi linalokuja utalia nakusaga mapengo najua sasahivi hauna meno! so ni mwendo wa nyamnyam tu..π Click to expand... πππnacheka kwa dharauuuu... Kenzy kenyz nakuita mara mbili...nakusihi punguza mdomo mtani wangu utaumbuka...
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,570 Reaction score 89,213 Oct 21, 2024 #26 Kalpana said: πππnacheka kwa dharauuuu... Kenzy kenyz nakuita mara mbili...nakusihi punguza mdomo mtani wangu utaumbuka... Click to expand... leo najisikia kukutambia mpk ulie yanga bingwa yanga ni lidude likuubwa linapiga,linaua halafu linazika!
Kalpana said: πππnacheka kwa dharauuuu... Kenzy kenyz nakuita mara mbili...nakusihi punguza mdomo mtani wangu utaumbuka... Click to expand... leo najisikia kukutambia mpk ulie yanga bingwa yanga ni lidude likuubwa linapiga,linaua halafu linazika!
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,652 Reaction score 72,821 Oct 21, 2024 #27 KENZY said: leo najisikia kukutambia mpk ulie yanga bingwa yanga ni lidude likuubwa linapiga,linaua halafu linazika! Click to expand... Huyu huyu chura wa jangwani..mwenye kubebwa juzi...subirini maji mtaita mmaa...
KENZY said: leo najisikia kukutambia mpk ulie yanga bingwa yanga ni lidude likuubwa linapiga,linaua halafu linazika! Click to expand... Huyu huyu chura wa jangwani..mwenye kubebwa juzi...subirini maji mtaita mmaa...
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,570 Reaction score 89,213 Oct 21, 2024 #28 Kalpana said: Huyu huyu chura wa jangwani..mwenye kubebwa juzi...subirini maji mtaita mmaa... Click to expand... nyumbu fc,nyau fc huna chakuniambia
Kalpana said: Huyu huyu chura wa jangwani..mwenye kubebwa juzi...subirini maji mtaita mmaa... Click to expand... nyumbu fc,nyau fc huna chakuniambia
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,652 Reaction score 72,821 Oct 21, 2024 #29 KENZY said: nyumbu fc,nyau fc huna chakuniambia Click to expand... Haya mwiko nyuma fc...uto fc..kandambili fc...gongowazi... Kweli sina cha kukwambia...
KENZY said: nyumbu fc,nyau fc huna chakuniambia Click to expand... Haya mwiko nyuma fc...uto fc..kandambili fc...gongowazi... Kweli sina cha kukwambia...