Huko mbali san mechi ya ngao ya jamii juzi tu goli la Aziz na Pacome zilikataliwa wakati hawakuwa offside na Penalty ya Aziz,halafu refa huyo huyo aliye chezesha hiyo mechi akaenda kuchezesha mechi ya Azam akawapa magoli mawili ya offside, haya Dodoma Jiji wakapewa tuta ambalo mchezaji aliucheza mpira.Kuna video inayo tembea mitandaoni ikimuonyesha msemaji wa Simba akihojiwa na wanahabari.
Akiwa anajibu maswali juu ya malalamiko katika michezo iliyopita ya Simba dhidi ya Azam na Dodoma JiJi juu ya uamuzi mbovu wa marefa uliopelekea wao Simba kunufaika alisema
Pale Tff Kuna Sanduku la maoni kwaiyo wenye malalamiko juu ya maamuzi yasiyo ridhisha wapeleke kwenye ilo Sanduku.
Mimi nawakumbusha kwakua baada ya mechi ya Simba na Yanga yameibuka malalamiko kwa Baadhi ya Wana Simba dhidi ya waamuzi.
Ni vizuri wakafuata ushauri wa Kiongozi wao ndugu Ahmed Ally kupeleka malalamiko pale Tff katika Sanduku la maoni.
Kama mlivyoanzisha nyie nyuzi nyinginyingi kumsifia ATEBA kuelekea Match ya Yanga kua ni Mtambo wa magoliππMbona kama mnapapatuka si mnasema mmeshinda sasa mbona uzi nyingi nyingi za kumbukizi ili mpate uhalali...
Ila ulimuonaje? Bado kidogooooo.....Kama mlivyoanzisha nyie nyuzi nyinginyingi kumsifia ATEBA kuelekea Match ya Yanga kua ni Mtambo wa magoliππ
am still watching you!Ila ulimuonaje? Bado kidogooooo.....
Kama vipi nilipue basi...ππam still watching you!
Ahahahaha ubaya ubwela mpka tamati...Tunakumbushana tu maana binadamu tume umbwa kusahau.
NB: Ubaya Ubwela
njoo!Kama vipi nilipue basi...ππ
Nisubiri 5 minutes....njoo!
ninayo hamu yakukufanyia fujo vurugu mpk ulie!..πNisubiri 5 minutes....
Ahaha hunipati....πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈninayo hamu yakukufanyia fujo vurugu mpk ulie!..π
natamani ningekuona live sasahivi hapa ningecheza na shingo yako!, kwanini tunawafunga na hamtaki kukubali..?πAhaha hunipati....πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Siku tukikubali mjue mtadrop nyie tuacheni hivi hivi...ππππnatamani ningekuona live sasahivi hapa ningecheza na shingo yako!, kwanini tunawafunga na hamtaki kukubali..?π
sasa ni hivi mtake msitake machinjio ni palepale kwa mkapa!,tunaua tunazika hapohapo hatusafirishi maana na sanda mmeshajivika tayari!.. tutahakikisha yule spider man wenu anakua nyumbu man!..πSiku tukikubali mjue mtadrop nyie tuacheni hivi hivi...ππππ