Wana Monduli Moringe angelikuwepo?

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,231
Am sure Moringe angelikuwepo hawa watu angeliwatia bakora wote.
Mtu fisadi wa kutupwa badala ata wamshauri arudi home kimya kimya wakamwandalia na sherehe ya kumpongeza.
Does that mean serikari,ccm,Raisi na wananchi they are hopeless kumwadabisha PM?

Hi ni zarau kwa watz,bunge,ccm kwa ujumla tena kama chama inabidi kimwadabishe.

Tanzania tunaenda wapi?huyu mtu ata Nyerere akifufuka atamtia bakora tuu.
Katuabisha alafu anajifananisha na mzee wetu wa busara mwinyi ambaye alijiuzuru kwa kitu ambacho ata hakushiriki ila ni collective responsibility tuu.Sio yeye ameshiriki step by step alafu leo aseme kaonewa---upumbavu.

Kumtia adabu inabidi achukuliwe atu za kinizamu haraka iwezekana ili adabu na heshima ichukue mkondo wake
 
Back
Top Bottom