Rais Samia Mungu amlinde. Ni mtu wa Mungu.Hakika sisi wana Mbeya tumefarijika sana kwa utawala wako mama Samia.
Tunajua kuwa bado una mambo mengi ya kuyarekebisha ikiwemo katiba na tume huru ya uchaguzi.
Leo hii sisi wana Mbeya tunatoa shukrani nyingi kuona umeturudishia furaha zetu zilizo zimwa na wenye nguvu.
Leo hii tumepokea viongozi wa cdm ,Leo hii tumepata nafasi ya kukusanyika kuwasikikiza wanachama wenzetu bila kupigwa virungu na kutupwa lokapu.
Hakika mnyonge mnyongeni lkn haki zake mpeni.
Tumeanzia hapa Mbalizi kuonyesha kuwa tuna uhitaji upinzani wa kweli ndani ya mkoa wetu.
View attachment 2529559
NakubaliKama taifa lazima tufikie mahali tusifu kwenye jambo la kitaifa.
Sisi wapenzi wa amani, umoja, haki na maendeleo tunapongeza kila lenye tija kwa Taifa.Hakika sisi wana Mbeya tumefarijika sana kwa utawala wako mama Samia.
Tunajua kuwa bado una mambo mengi ya kuyarekebisha ikiwemo katiba na tume huru ya uchaguzi.
Leo hii sisi wana Mbeya tunatoa shukrani nyingi kuona umeturudishia furaha zetu zilizo zimwa na wenye nguvu.
Leo hii tumepokea viongozi wa cdm ,Leo hii tumepata nafasi ya kukusanyika kuwasikikiza wanachama wenzetu bila kupigwa virungu na kutupwa lokapu.
Hakika mnyonge mnyongeni lkn haki zake mpeni.
Tumeanzia hapa Mbalizi kuonyesha kuwa tuna uhitaji upinzani wa kweli ndani ya mkoa wetu.
View attachment 2529559
Umepanic..Mataahira ni wazazi wako
Anastahuli kupongezwaKwa kweli Mama Samia amefanya jambo kubwa na zito. Huenda amefanya kinyume na mapenzi ya wanachama wengi wa chama chake lakini amefanya uamuzi wa maana wa kitaifa.
Kwa hiyo humpeni Rais Wako Samia?Umepanic..
Haya nenda kafurahia hisani ha Samia
Ajabu sanaMataahira kabisa nyie!
Yani mtu anakupokonya hela yako kisha akikurushia unaanza kumshukuru?
Kwahiyo furaha yenu inategemea hisani ya rais?
Mavi matupu
DisgraceKumbe bado akili hazijageuka tu,yani mpaka leo bado hujui ni namna gani siasa zinatakiwa kuwa na zinaendeshwaje..!,akili bado zimegandia palepale mlipoporogwa na kuunga juhudi bila kujifunza jinsi ya kunasua..poleni.
We ni uharoMataahira kabisa nyie!
Yani mtu anakupokonya hela yako kisha akikurushia unaanza kumshukuru?
Kwahiyo furaha yenu inategemea hisani ya rais?
Mavi matupu