Hahahaha niliwahi ishi kigoma kwa miaka kadhaa ila acha tu sijui kama wamebadirika kwa kwelithubutu
Hivi hujajua kwanini hawajengi huko ...kuna uchawi mtakatifu huko utadhani shetani ndio amezaliwa kule ...
ukijenga tu jiandae kurudi kwenye jeneza ..watu hawataki kabisa kuona vijana wanakuwa na maendeleo.
kuna wengine ambao niwazawa hawataki kurudi hata kutembea kwao
yaani hawataki kurudi hata kwa bahati mbaya
wabadilike wapi mimi ndugu zangu walitoka huko mwaka Jana ..stories ndio hizo hzo kama zamtoa mada..nikurogana tu..Hahahaha niliwahi ishi kigoma kwa miaka kadhaa ila acha tu sijui kama wamebadirika kwa kweli
Nimefika juzi baada ya miaka 4 yaani kupo vilevile ama kweli bangi zinawapeleka kubaya sanaKule wakiacha kuvuta Bangi mbona wataendelea
Sadthubutu
Hivi hujajua kwanini hawajengi huko ...kuna uchawi mtakatifu huko utadhani shetani ndio amezaliwa kule ...
ukijenga tu jiandae kurudi kwenye jeneza ..watu hawataki kabisa kuona vijana wanakuwa na maendeleo.
kuna wengine ambao niwazawa hawataki kurudi hata kutembea kwao
yaani hawataki kurudi hata kwa bahati mbaya
hkika
Uchawi na bange, lethal combination bila hekima na ufahamu!Kule wakiacha kuvuta Bangi mbona wataendelea
Bangi na milungiNimefika juzi baada ya miaka 4 yaani kupo vilevile ama kweli bangi zinawapeleka kubaya sana
Kagera panazidiwa na Tabora mkuu.Hacha bangi za mchana wewe, kagera unaijua vzr kweli?
kagera wanaishi maisha ya kizamani sana..hakuna mgeni anaweza kwenda akafungua hata biashara ya maana...utabaki na duka lako nobody bother to come n buy anything!wazawa tu ndio wanawezaKagera panazidiwa na Tabora mkuu.