Wana Kibiti somen

Joined
Feb 13, 2013
Posts
98
Reaction score
15
Jaman nawatafuta mates wangu niliosoma nao kibit Sec school A-level 2003-2005 nimewakumbuka sana watu wangu.Mgosi 0652837898
 
Jaman nawatafuta
mates wangu niliosoma nao kibit Sec school A-level 2003-2005
nimewakumbuka sana watu wangu.Mgosi 0652837898

dah umenikosa kidoogo, coz niliingia hapo 2005 na kusepa 2007, vipi mwanangu unaikumbuka mihogo (mapande) , pond water.
 
mhhhhhh, ngoja na mimi niwatafute 'mapadre' wenzangu..........nicheki kwenye 0784.................
 
Mapande nayakumbuka sana kwa mama peter, pond zimbwini, mchukwi cosolata.kubeba wat kwa kitanda du!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…