Wana Jf wa Dar

jun255

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2015
Posts
391
Reaction score
280
Wana Jf mnaoishi dar tujuane hapa jaman


Me niko sinza palestina
 
Umepanga chumba kwenye nyumba ya uani?

Au unakaa kwa baba na mama?

Anyway, mimi niko Mbezi - Malamba Mawili
 
Duuuuu! sasa mimi kwenye mitongozo huwa nasema nipo masaki! kwenye reality nasema mmmmhhhhhh.......daaa nitakuja baadaye!
 
Wewe ni he/she?
Married/single?
Available??

Karibu Mabwepande.
Babu kwema?? Hivi huko viwanja vya kawaida kwa sisi wa watu wa chini vinapatikana kwa pesa ngapI Aangalau pa kuanzia.
 
Babu kwema?? Hivi huko viwanja vya kawaida kwa sisi wa watu wa chini vinapatikana kwa pesa ngapI Aangalau pa kuanzia.
Viwanja vya aina gani? Vilivyopimwa au vya kawaida??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…