K KAUMZA JF-Expert Member Aug 31, 2010 699 237 Feb 17, 2011 #1 Jamani sakata la mabomu ya Goms tumelisikia. nimesikitika kuona darasa langu la form two"B' Pugu sekondari nalo likiwa limeathirika kwa bomu. Jamani kuna yeyote mwana jf aliyepatwa na madhara ya mabomu. kma yupo pole sana na tufhamishane kupitia jf
Jamani sakata la mabomu ya Goms tumelisikia. nimesikitika kuona darasa langu la form two"B' Pugu sekondari nalo likiwa limeathirika kwa bomu. Jamani kuna yeyote mwana jf aliyepatwa na madhara ya mabomu. kma yupo pole sana na tufhamishane kupitia jf