kachoka kuliwa na waume za watu, kaamua kukufanyia visa,halafu na wewe uache ukahaba, si ubaki na mkeo?
........Mwe!! hebu rudi kwenye thread ya Babu Asprin kuna alosema kuwa kama amekukubalia wewe ambaye ni mume wa mtu, nini kitamzuia asimkubalie yule, na yule na yule?? Ukikubali kuwa na nyumba ndogo ya wizi kubali kusashare......afterall Sharing is Caring LOLMimi nilikuwa ktk mahusiano na na mtu kwa muda wa miaka 3,ila ktk miaka hiyo nimekuwa na matukio mengi hasa katika swala la mahusiano mwenzangu aliwahi kuwa katika mahusiano zaidi yangu!
Kwanza hakuniambia kama wana uhusiano mpaka nilipo gundua mwenyewe akaomba samahani nikamsamehe,mara yapili nikambamba na msg yajamaa kumubananisha akakubali nikamsamehe tena!tukakaa juzi nikakuta tai kwake kumwuliza akarusha nikamwambia kama uniambii itz over baadae akasema ya mfanyakazi mwenzie ila nikajua ananichakachua nikamtema nikamshmnsha ktk gari.Sasa tumeachana ila sasa na haha mimi naomba turudiane nayeye hataki!ila akija ofcn nikifunga mlango napewa ila kimagutu ila sijaona waku cover nafasi yake je nifanyeje?nampenda status yangu married na usihoji maisha nikupanga na kupanga nikuchagua!
........Mwe!! hebu rudi kwenye thread ya Babu Asprin kuna alosema kuwa kama amekukubalia wewe ambaye ni mume wa mtu, nini kitamzuia asimkubalie yule, na yule na yule?? Ukikubali kuwa na nyumba ndogo ya wizi kubali kusashare......afterall Sharing is Caring LOL
Mweyego, pole ni dhahiri unampenda sana but hebu ifikirie afya yako, ya mkeo na wanenu kama mnao. Huko kushindwa kujizuia ni kwa sababu hujajipa nafasi ya kuwa mbali naye (maana umeandika umemtema juzi, na leo unataka mrudiane!! au mi cjaelewa?)
Blacks wa Marekani wakiitwa nigger na Mzungu lazima pachimbike, ila wenyewe kuitana nigger ni poa tu.kumbe hili neno kuliwa ni fair?wanawake mnalipenda kumbe?nilifikiri tukilitumia sisi mnaona mnadhalilishwa,kumbe sivyo?
so mnaliwa?????/lol
wende hawa wakaka zetu hawa bana.....dahMwanajamiione,ur perfectly right!
Sasa unataka sisi tukusaidieje?!Umeshajua yeye ana tabia kama yako tu kwahiyo mkubali kama alivyo(kama alivyokukubali wewe) muendelee.Najua yote mliyosema ila ndo msaada niliouomba kwenu mbona nyinyi ndo mumekuwa selfsh zaidi kuliko nyinyi mnavyosema mimi selfsh!