kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,635
- 7,005
Nafikiri hakuwa chaguo la kwanza alikuja kwa dharura baada ya yule mburundi kuwa amezingua ikabidi atafutwe kocha kwa udharura bila vetting ya kutoshahivi tuwe wazi kosa la yule kocha mzungu ni lipi?!
Kulikoni Mkuu?Unaumwa uharo wewe si bure.
Ushabiki wa aina hii unafanya wenye busara tuachane na mipira yenu ya kibongo. Hata katika nchi ya Zanzibar huwezi kukuta shabiki wa Malindi mwenye mawazo finyu kama haya dhidi ya Small Simba.Kibongo bongo hutakiwi kushangaa,timu inafanya vizuri kwa mara ya kwanza tena kipindi cha pili baada ya misuko suko ya kutosha,kisha unasikia kocha amefukuzwa.
Nini kipo nyuma ya maamuzi haya?
Watu waliona ili watengeneze mazingira ya kushawishi wapenzi wa Yanga wajae siku ya mechi ya tarehe 18,ilikuwa muhimu yanga kushinda leo.
Mpaka sasa yanga wana amini watashinda mechi ya Simba pia.Wamejinasibu ukuta mgumu,ila hawakuangalia ni nani alikuwa akicheza nao.
Kwa hiyo ilibidi mchezo uchezwe nje ya uwanja baada ya kuona kocha ameshindwa kuleta matokeo.
Hongera gsm.
Mwamnyeto alikung'utwa nane na Lamine alikula nne. Kwa (8+4)÷2=6. Haya ndio magoli watakayo achia tarehe 18. Kwa Simba hiyo ni porous wall au uchochoro. Sambusa zitapenyeza mara sita.Uo ukuta ndio uliocheza na mtibwa sugar na hukufugwa gori hata moja ikiwa timu yako ilifugwa na mtibwa sasa unabeza nini sasa ukuta wa yanga unajitahidii na wanashambuliwa kweri kweri na wanajua kuzuia angalia hata gem na mtibwa wape sifa zao acha ushabikii
Unaheshimu jitu gani hilo? Eti GSM wamenunua mechi? Haaaa!!kibaravumba huwaga nakusheshimu Sana mzee mwenzangu,Ila kuna baadhi ya maandiko yako yananipa ukakasi juu ya uwezo wako wa kuchanganua mambo,
Kwahiyo unataka uiaminishe umma kua GSM walinunua mechi kipindi cha pili?
kumbuka yanga mbovu ilishachomoa goli2 za yanga,ngoma ikaenda droo,yanga mbovu ikaipiga Simba kamoja,Mwamnyeto alikung'utwa nane na Lamine alikula nne. Kwa (8+4)÷2=6. Haya ndio magoli watakayo achia tarehe 18. Kwa Simba hiyo ni porous wall au uchochoro. Sambusa zitapenyeza mara sita.
Hiyo hiyo Yanga Mbovu ilifungwa nne na simba.kumbuka yanga mbovu ilishachomoa goli2 za yanga,ngoma ikaenda droo,yanga mbovu ikaipiga Simba kamoja,
GSM Foam(Yanga) Vs. GSM coconut (Costal union).Kibongo bongo hutakiwi kushangaa,timu inafanya vizuri kwa mara ya kwanza tena kipindi cha pili baada ya misuko suko ya kutosha,kisha unasikia kocha amefukuzwa.
Nini kipo nyuma ya maamuzi haya?
Watu waliona ili watengeneze mazingira ya kushawishi wapenzi wa Yanga wajae siku ya mechi ya tarehe 18,ilikuwa muhimu yanga kushinda leo.
Mpaka sasa yanga wana amini watashinda mechi ya Simba pia.Wamejinasibu ukuta mgumu,ila hawakuangalia ni nani alikuwa akicheza nao.
Kwa hiyo ilibidi mchezo uchezwe nje ya uwanja baada ya kuona kocha ameshindwa kuleta matokeo.
Hongera gsm.
Kama jinsi ambavyo zile B20,huwa zinawatoa maneno yote ilhali haziwahusu kabisa.Kocha aliyevunjiwa mkataba ni wa yanga cha ajabu wanaoumia ni simba, waache yanga ijiamulie mambo yao.
B20 ni deal hewa ilo lipo waziKama jinsi ambavyo zile B20,huwa zinawatoa maneno yote ilhali haziwahusu kabisa.
Sasa acha na sisi tujadili mambo yenu kama wewe unavyojadili ya Simba.B20 ni deal hewa ilo lipo wazi